Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ashtakiwa kumtusi mke wa Mugabe

Mbunge mmoja wa chama tawala nchini Zimbabwe anatarajiwa kufikishwa kortini kujibu mashtaka ya kumtusi mke wa Rais Robert Mugabe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mke wa Rais Mugabe abanwa

MSHINDI wa tuzo ya uandishi nchini Zimbabwe Chenjerai Hove, amemtaka mke wa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Grace Mugabe, kurejesha Shahada yake ya Uzamivu (PhD).

 

10 years ago

Mtanzania

Mke wa Mugabe apewa uongozi ZANU-PF

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe

HARARE, ZIMBABWE

MKE wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe, ameteuliwa kuwa kiongozi wa kitengo cha wanawake ndani ya chama tawala cha ZANU-PF.

Grace (49) atakabidhiwa rasmi wadhifa wa kuongoza kitengo hicho katika kongamano la kitaifa la chama hicho ambalo linatarajiwa kufanyika Desemba.

Kwa mujibu wa BBC, cheo hicho kitamruhusu kushiriki mikutano ya Kamati Kuu ya ZANU-PF ambayo kimsingi ndiyo yenye shinikizo kubwa la uendeshaji wa...

 

10 years ago

Bongo5

PhD ya miezi miwili aliyopewa mke wa Mugabe yawakasirisha wanachuo

Chama cha wanachuo nchini Zimbabwe, Ijumaa hii kimeutaka uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe kujiuzulu baada ya kumpatia mke wa rais Robert Mugabe, PhD miezi miwili tu baada ya kuanza masomo. Huchukua zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa mwanafunzi wa kawaida ili kupata PhD. PhD hiyo ilitolewa kwa Grace Mugabe, 49 aliyekuwa mpiga chapa […]

 

10 years ago

Habarileo

‘Mke’ wa mbunge avamia kikao na mtoto mlemavu

ANAYEDAIWA aliyewahi kuwa mke wa mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM), Hawa Deus, jana alivamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala akiwa amesindikizwa na kundi la watu ambao mmojawao alikuwa amembeba mtoto wa mbunge huyo mwenye ulemavu, huku wakipiga kelele na kuwaacha wabunge na viongozi wa dini waliokuwepo kupigwa na butwaa.

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU

1Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kiushi katika mazingira magumu , ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo, huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa Morogoro aongoza mamia kumzika Mke wa Mbunge a Jimbo la Morogoro Kusini

Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh  Innocent Kalogeris  kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wa staafu na watu mashuhuri wamefurika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA MOROGORO AONGOZA MAMIA KUMZIKA MKE WA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris. Watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wastaafu na watu mashuhuri wamefurika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro  Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh  Innocent Kalogeris  kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE

1Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete,Bi. Arafa Mohammed (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kuishi katika mazingira magumu.ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo.

Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani