MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Rose Kamili, Askofu Kilaini wamshukia Dk Slaa
9 years ago
Mwananchi09 Sep
TAFAKURI YA ABU IDD: Tumjibu au tumpuuze Dk Wilbrod Slaa?
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Dk. Slaa amlipua JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kuzungumzia rasimu ya siri ya Katiba inayodaiwa kuandaliwa na Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Dk. Slaa amlipua Kinana
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemshambulia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kwamba anashabikia mfumo wa serikali mbili ili anufaike...
11 years ago
Habarileo28 Feb
Katibu CCM amlipua Dk Slaa
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kujua kiasi cha fedha anazolipwa Dk Willbrod Slaa kila mwezi ili waoanishe na harakati zake anazodai zinalenga kupinga ufisadi. Dk Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema); yupo wilayani Iringa akiongoza kampeni za kumnadi Grace Tendega anayegombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama hicho.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3HVS0ExNGqM/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Mke wa Dk Slaa afunguka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA*6TADaQ114ecX8nzYBI6-mPz14Ko84nTU57ncOSz4k-pvQKdCG41hYgzlee8dcfdAAL2HfWDFgNOVnRb1i*z6q/mbowe.jpg?width=650)
MBOWE AMJULIA HALI MBUNGE ROSE KAMILI
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Mke wa Dk. Slaa Amwaga mboga
AZIZA MASOUD NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KWA vijana wa mjini, wanaweza kusema kwamba alichofanya Dk. Willibrod Slaa juzi kwa kuachana na siasa na kurusha tuhuma kwa chama chake, ni sawa na kumwaga ugali, na majibu aliyotoa mkewe wa kwanza, Rose Kamili jana, ni sawa na kumwaga mboga.
Mke huyo aliyedai kutelekezwa na Dk. Slaa mwaka 2010 pamoja na watoto, alisema kiongozi huyo ni mwongo na ni dhaifu kwa wanawake.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Rose alisema...