TAFAKURI YA ABU IDD: Tumjibu au tumpuuze Dk Wilbrod Slaa?
Tafakuri yetu leo inaangazia hoja ya kuijibu au kutojibu hotuba iliyotolewa hivi karibuni na aliyekuwa mwanachama na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Peter Slaa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, tuwapongeze au tuwakemee
Wadau wa tafakuri hebu leo tulijadili tukio la Wabunge wanaotoka katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya fujo ndani ya Bunge bila ya nidhamu tena mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
10 years ago
Mwananchi12 Aug
TAFAKURI YA ABU IDDI: Kofia mbili CCM zitenganishwe?
Kwa muundo wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa nchi tulie naye hivi sasa ndiye pia mwenyekiti wa chama hicho kwa ngazi ya Taifa.
9 years ago
Mwananchi19 Aug
TAFAKURI YA ABU IDDI: Ni kura za Chadema, Ukawa au Lowassa?
Mazingira ya wapiga kura wa Tanzania yamegawanyika katika makundi makuu matatu:
9 years ago
Mwananchi02 Sep
TAFAKURI YA ABU IDDI: Madhara ya kuruhusu siasa vyuoni
Kama kuna bomu ambalo tunatakiwa kulitafakari ili tulipoze au tungojee lilipuke lenyewe na kutuletea madhara, ni kuwapo kwa harakati za vyama vya siasa katika vyuo vya elimu ya juu nchini.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, Lowassa ameuimarisha upinzani au ameudhoofisha?
Tukiutafakari upinzani katika nchi yetu hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, tunatakiwa tuutazame katika sura nne tofauti:
9 years ago
Mwananchi23 Dec
TAFAKURI YA ABU IDDI :Mawaziri watamuangusha Rais Magufuli au watamnyanyua?
Wadau wa tafakuri, leo nataka tuutafakari mzigo mkubwa walioubeba mawaziri wa Serikali ya Rais John Magufuli ambao ni kuhakikisha hawamuangushi katika yale aliyowaamini na kuwateua kushika nyadhifa hizo ili na yeye asiwaangushe Watanzania.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
TAFAKURI YA ABDU IDD :Tutafakari nguvu na udhaifu wa Dk Magufuli
Wadau wa tafakuri leo nataka tutafakari juu kuhusu uwezekano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda ama kushindwa katika kinyang’anyiro cha urais mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
TAFAKURI YA ABDU IDD :Wapigakura wa Tanzania tunahitaji mabadiliko gani?
Wadau wa tafakuri, ni vizuri tukayatafakari mabadiliko, kabla ya kuingia kwenye hatua ya kupiga kura.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania