Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAFAKURI YA ABU IDDI: Kofia mbili CCM zitenganishwe?

Kwa muundo wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa nchi tulie naye hivi sasa ndiye pia mwenyekiti wa chama hicho kwa ngazi ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, tuwapongeze au tuwakemee

Wadau wa tafakuri hebu leo tulijadili tukio la Wabunge wanaotoka katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya fujo ndani ya Bunge bila ya nidhamu tena mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Madhara ya kuruhusu siasa vyuoni

Kama kuna  bomu ambalo tunatakiwa kulitafakari ili tulipoze au  tungojee lilipuke lenyewe na kutuletea madhara,  ni kuwapo kwa  harakati za vyama vya siasa katika vyuo vya elimu ya juu nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, Lowassa ameuimarisha upinzani au ameudhoofisha?

Tukiutafakari upinzani katika nchi yetu hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, tunatakiwa tuutazame katika sura nne tofauti:

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Ni kura za Chadema, Ukawa au Lowassa?

Mazingira ya wapiga kura wa Tanzania yamegawanyika katika makundi makuu matatu:

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI :Mawaziri watamuangusha Rais Magufuli au watamnyanyua?

Wadau wa tafakuri, leo nataka tuutafakari mzigo mkubwa walioubeba mawaziri wa Serikali ya Rais John Magufuli ambao ni kuhakikisha hawamuangushi katika yale aliyowaamini na kuwateua kushika nyadhifa hizo ili na yeye asiwaangushe Watanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDD: Tumjibu au tumpuuze Dk Wilbrod Slaa?

Tafakuri yetu leo inaangazia hoja ya kuijibu au kutojibu  hotuba iliyotolewa hivi karibuni na aliyekuwa mwanachama na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Peter Slaa.

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABUU IDDI: Watanzania tungojee mabadiliko au tujibadilishe?

Wadau wa tafakuri tukikubaliana kwamba tunahitaji mabadiliko, ni lazima tutafakari kwanza ni nani mwenye wajibu wa kutuletea hayo mabadiliko. Ukweli ni kwamba mabadiliko tunayoyahitaji ni kutokea kwenye mafanikio kidogo kwenda kwenye mafanikio zaidi au kutokea kwenye dhiki kwenda kwenye faraja.

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia

Umeshawahi kujiuliza kwanini muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo huwa haachi kuvaa kofia kila anapoonekana? Ipo sababu ya kufanya hivyo. Ne-Yo ambaye yupo nchini Kenya kushiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa, alikutana na swali la huwa anaficha kitu gani chini ya kofia yake? Alianza kujibu kwa utani “Nilipokuwa mdogo, nilipata ajali mbaya sana-Natania” akaendelea […]

 

9 years ago

Raia Mwema

Tafakuri juu ya JK Nyerere, Warioba, CCM na Wapinzani

NILIMALIZIA makala yangu iliyopita kwa kutoa mawazo yangu kuhusu misimamo ya Jaji Joseph Sinde Wa

Jenerali Ulimwengu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani