Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tafakuri juu ya JK Nyerere, Warioba, CCM na Wapinzani

NILIMALIZIA makala yangu iliyopita kwa kutoa mawazo yangu kuhusu misimamo ya Jaji Joseph Sinde Wa

Jenerali Ulimwengu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wapinzani Ukraine waja juu

Viongozi wa upinzani nchini Ukraine wamedai kufahamishwa ni jambo gani ambalo Rais Viktor Yanukovych, ameipatia Russia.

 

11 years ago

Mwananchi

MJEMA: CCM, Ukawa, tumieni siku 35 kufanya tafakuri

> Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wana  siku 35 kuanzia leo, kutafakari kama kweli wana dhamira ya dhati ya kuwapatia wananchi Katiba Mpya au la kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Kofia mbili CCM zitenganishwe?

Kwa muundo wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa nchi tulie naye hivi sasa ndiye pia mwenyekiti wa chama hicho kwa ngazi ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba awataja wasaliti wa Nyerere

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Muungano, ndiyo wasaliti kwa kuwa waliingiza kwenye Katiba, mambo yanayokinzana na makubaliano ya Muungano huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba ataja wasaliti wa Nyerere

MWENYEKITI wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amedokeza kuwa kwa tabia na mwenendo wao, watawala wamemsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Jaji Warioba amekemea...

 

10 years ago

Habarileo

Nyerere hajaenziwa kwa vitendo —Warioba

Mwalimu Julius NyerereIKIWA leo ni miaka 15 tangu kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, imebainika kuwa bado suala la haki na usawa ndani ya jamii ya Watanzania linakosekana na hivyo kushindwa kumuenzi vyema muasisi huyo wa taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani