Warioba awataja wasaliti wa Nyerere
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Muungano, ndiyo wasaliti kwa kuwa waliingiza kwenye Katiba, mambo yanayokinzana na makubaliano ya Muungano huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Warioba ataja wasaliti wa Nyerere
MWENYEKITI wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amedokeza kuwa kwa tabia na mwenendo wao, watawala wamemsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Jaji Warioba amekemea...
10 years ago
Habarileo14 Oct
Nyerere hajaenziwa kwa vitendo —Warioba
IKIWA leo ni miaka 15 tangu kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, imebainika kuwa bado suala la haki na usawa ndani ya jamii ya Watanzania linakosekana na hivyo kushindwa kumuenzi vyema muasisi huyo wa taifa.
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Tafakuri juu ya JK Nyerere, Warioba, CCM na Wapinzani
NILIMALIZIA makala yangu iliyopita kwa kutoa mawazo yangu kuhusu misimamo ya Jaji Joseph Sinde Wa
Jenerali Ulimwengu
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Warioba: Hata Nyerere angebadili mawazo kuhusu Serikali tatu
10 years ago
Habarileo31 Jan
DC Chamwino awataja waliokwapua michango ya maabara
MKUU wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally amewataja watendaji waliokwapua takribani Sh milioni 6 za michango ya ujenzi wa maabara shule za sekondari.
10 years ago
Bongo512 Dec
J.Cole awataja rappers watano anaowakubali
10 years ago
Bongo525 Nov
One the Incredible awataja maproducer walioshiriki kuipika R.A.P
11 years ago
Mwananchi26 May
Lissu awataja mawaziri, wabunge walioomba fedha