Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


One the Incredible awataja maproducer walioshiriki kuipika R.A.P

December 5, rapper One the Incredible anatarajia kuiachia album yake ya pili inayokwenda kwa jina la R.A.P ambayo ni kifupi cha ‘Representing Africa Popote’, ) Desemba 5 mwaka huu. Akiongea na kipindi cha Bomba Base Show cha Bomba FM ya Mbeya, One amesema album hiyo inatoka akiwa chini ya uongozi mpya. “Sasa hivi nina management […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hawa ndio maproducer wa Tanzania waliotengeneza hits nyingi zaidi – 2015

Producers

Tunaposema muziki wa Tanzania unazidi kukua kimataifa, pamoja na jitihada za wasanii wenyewe, watayarishaji wa muziki wana mchango mkubwa zaidi katika mafanikio hayo. Hii ni orodha ya watayarishaji wa muziki waliotengeneza hits nyingi zaidi mwaka 2015.

1. Nahreel (The Industry)

20151117001826

Nyimbo alizotayarisha mwaka huu

1. Nana – Diamond Platnumz
2. Nobody But Me – Vanessa Mdee
3. Never Ever – Vanessa Mdee
4. Nusu Nusu – Joh Makini
5. Don’t Bother –Joh Makini f/ AKA
6. Jux f/ Joh Makini – Looking For...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba awataja wasaliti wa Nyerere

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Muungano, ndiyo wasaliti kwa kuwa waliingiza kwenye Katiba, mambo yanayokinzana na makubaliano ya Muungano huo.

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Africa kuwasafirisha washiriki na maproducer popote pale nyumba mpya itakapopatikana ‘duniani’

M-Net na Endemol South Africa wamesema wanatafuta nyumba nyingine yenye kamera popote pale duniani, baada ya ile iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kipindi cha Big Brother Afrika 2014 kuripotiwa kuungua mapema wiki hii. Msimu wa tisa wa Big Brother Afrika: Hotshots ambao umepangwa kuanza Jumapili hii (kama swala la moto sio stunt), ulitangazwa kuahirishwa kuzinduliwa kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

J.Cole awataja rappers watano anaowakubali

J. Cole amewataja rappers watano anaowakubali zaidi wakati akiongea na Angie Martinez kwenye kituo cha redio cha Power 105.1 jana kupromote album yake mpya, 2014 Forest Hills Drive. Aliwataja rappers wa nne bila mpangilio maalum kuwa ni Tupac Shakur, Notorious B.I.G., Nas, na bosi wake wa Roc Nation, Jay Z. Hata hivyo alijikuta njia panda […]

 

10 years ago

Habarileo

DC Chamwino awataja waliokwapua michango ya maabara

Mkuu wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally MKUU wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally amewataja watendaji waliokwapua takribani Sh milioni 6 za michango ya ujenzi wa maabara shule za sekondari.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu awataja mawaziri, wabunge walioomba fedha

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewataja kwa majina mawaziri na wabunge aliosema bungeni kuwa wamekuwa ombaomba katika mifuko ya hifadhi ya jamii.

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza. Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer. Amesema kuwa jina la […]

 

11 years ago

Michuzi

TANAPA YAWATUNUKU VYETI WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WALIOSHIRIKI KONGAMANO JIJINI MWANZA

Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Raia Mwema na RAIA Tanzania kanda ya kaskazini Paul Sarwat ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani