Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hawa ndio maproducer wa Tanzania waliotengeneza hits nyingi zaidi – 2015

Producers

Tunaposema muziki wa Tanzania unazidi kukua kimataifa, pamoja na jitihada za wasanii wenyewe, watayarishaji wa muziki wana mchango mkubwa zaidi katika mafanikio hayo. Hii ni orodha ya watayarishaji wa muziki waliotengeneza hits nyingi zaidi mwaka 2015.

1. Nahreel (The Industry)

20151117001826

Nyimbo alizotayarisha mwaka huu

1. Nana – Diamond Platnumz
2. Nobody But Me – Vanessa Mdee
3. Never Ever – Vanessa Mdee
4. Nusu Nusu – Joh Makini
5. Don’t Bother –Joh Makini f/ AKA
6. Jux f/ Joh Makini – Looking For...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…

Mashabiki wengi  wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015. Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora. Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za […]

The post Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015… appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015

Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umepata watu wengi sana kwa mwaka 2015, ni mtandao ambao kila mtumiaji anao uhuru wa kupost picha na video fupi za sekunde kumi na tano…. hesabu na mimi TOP 10 ya picha zilizopata likes nyingi mwaka huu wa 2015. 10 Hiyo picha hapo juu kama unavyoiona tu ni ya Kendall Jenner […]

The post Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

HAWA NDIO WACHEZAJI 32 WANAOTARAJIWA KUNG’ARA ZAIDI NA KUONGOZA TIMU ZAO WAKATI WA FIFA WORLD CUP 2014


Fainali za Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji [scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya wakijua wazi kabisa kwamba pale ndipo watakapoona “lulu” kwa ajili ya vilabu vyao. Kwa maana hiyo kuna kila aina ya harakati za kimichezo na kuonyesha na kuonyeshana vipaji. Hii sio kumaanisha kwamba wachezaji wote mahiri hapa duniani walicheza katika fainali za Kombe la Dunia.La. 
Wapo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Washindi wa Tuzo za Taifa za Filamu, Tanzania Film Awards (TAFA)

1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian:  King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male):  Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay:  Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award:  Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best...

 

9 years ago

MillardAyo

TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio …

Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kuthibitisha kuwa yuko mbioni kuondoka TP Mazembe na kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, stori za January 2 ni kuwa klabu ya TP Mazembe imeita nyota wawali wa bongo kwenda kufanya majaribio. […]

The post TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA " NDIO ! FUSO NI FAIDA " KWA MIKOA ZAIDI YA 11 KUANZA LEO TAREHE 24 JULY ,2015 ,JIJINI DAR


Ndio! FusoniFaida is back!
Diamond Motors Limited is the country’s leading automobile distributor and the sole distributor of Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation (MFTBC) in Tanzania. They will once again be launching the campaign, Ndio! FusoniFaida where over a 26-day 11 region Test Drive andRoad Show in which they will be showcasing the FJ and launching the FZ; Fuso medium and heavy-duty truck which are suitable for the purpose of mining, agriculture, construction, logistics and...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Mastaa Hodari Kuficha Mimba

Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya.

Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua. Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu zenye mikusanyiko wakijiachia.

Lakini wapo ambao wakinasa, hata shughuli zao zinasimama. Hutawaona mtaani, wakiulizwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani