Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutoajiriwa kupunguza udahili mafunzo ya mifugo

MAKAMU Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo Kampasi ya Mpwapwa, Joseph Kasiga amesema kutotekelezwa kwa agizo la kuwapatia ajira wanafunzi wanaofuzu chuoni hapo huenda ikapunguza udahili miaka ijayo. Alisema hayo hivi karibuni wakati Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (Taliri) Mpwapwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanesco kupunguza gharama za mafunzo

Shirika la Umeme nchini (Tanesco), limesema huenda likapunguza gharama za uendeshaji wa mafunzo nje ya nchini kwa wafanyakazi wake, baada ya kubaini baadhi ya mafunzo waliyokuwa wakiyapata nje ya nchi yanatolewa nchini na Taasisi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kutoka Mamlaka ya Mafunzi ya Ufundi Stadi (Veta -Kipawa).

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR

 Naibu Waziri wa  Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahitimu kutoka vyuo visivyosajiliwa kutoajiriwa

DSC02227

Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma,Celina Kombani, akizungumza kwenye mahafali ya 20 ya chuo cha uhazili Tanzania mjini Singida. Kombani aliwaasa wahitimu hao 4,960, kwamba wasiridhike na elimu waliyopata, bali waongeze bidii zaidi katika kujiendeleza.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAZIRI wa nchi ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Celina Kombani,amesisitiza kwamba serikali haitaajiri wahitimu wo wote kutoka kwenye vyuo ambavyo havijasajiliwa...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME

Mtakwimu, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Bw. Vilerian Kidole akifafanua juu ya Umuhimu wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe Nchini kwa Wataalam kutoka kata za Hedaru, Makanya na Vunta wakati wa mafunzo yanayoendelea Hedaru, Wilayani Same juu ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao. Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa kwa Jamii, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bi. Hellen Msemo akisisitiza juu ya Umuhimu wa Kutumia...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME

Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi akisisitiza jambo juu ya Mafunzo ya Mradi wa kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa katika Wilaya yake wakati timu ya Wataalam Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika walipo mtembelea Ofsini kwake kabla ya kuanza mafunzo hayo leo, Hedaru Wilayani Same. Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa kwa Mikoa iliyoathirika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Udahili IMTU wasitishwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), na kukipa notisi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ardhi kuongeza udahili 2016

CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kinatarajiwa kudahili wanafunzi 7,700 ifikapo 2016/17. Mwenyekiti wa Baraza la ARU, Tabitha Siwale, aliyasema hayo kwenye mahafali ya nane yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

11 years ago

Mwananchi

TCU yasitisha udahili IMTU

>Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/15 katika Chuo  Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (Imtu) .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi

MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani