OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME
Mtakwimu, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Bw. Vilerian Kidole akifafanua juu ya Umuhimu wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe Nchini kwa Wataalam kutoka kata za Hedaru, Makanya na Vunta wakati wa mafunzo yanayoendelea Hedaru, Wilayani Same juu ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao. Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa kwa Jamii, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bi. Hellen Msemo akisisitiza juu ya Umuhimu wa Kutumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
10 years ago
MichuziWataalam Ngazi ya Kata kutumika kupunguza Athari za Maafa ya Ukame
Akiongea wakati wa Mafunzo juu ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa Wataalam wa Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta, Wilayani Same,...
10 years ago
MichuziWananchi waishukuru serikali kuwajengea uwezo wa kupunguza athari za maafa ya ukame
Wananchi wa Wilayani Same katika kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wameishukuru serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya uratibu maafa, kwa kuwajengea uwezo wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame ambao umekuwa ukizisumbua kata hizo Kutokana na mabadiliko ya Tabia Nchi.
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kujengea jamii uwezo wa kukabili maafa ya ukame imefanikiwa kujenga uwezo huo kupitia vikundi vya maendeleo...
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziKISHAPU YAFANIKIWA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME
10 years ago
MichuziMIL. 207 ZATUMIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME KISHAPU
Mradi huo umetekelezwa kwa mafanikio katika kata 3 za Mwamalasa, Masanga na Langana, ambapo vikundi vya maendeleo kumi...
10 years ago
MichuziKILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME
11 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU KUANZA KUFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA