MIL. 207 ZATUMIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME KISHAPU
Na. Mwandishi Maalum. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imefanikiwa kupunguza athari za maafa yatokanayo na ukame wilayani Kishapu kwa kutumia jumla ya Shilingi milioni 207 kwa kutekeleza Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa Kupunguza Athari za Maafa yatokanayo na ukame wilayani humo kwa kuijengea jamii uwezo wa kupata uhakika wa chakula na kipato.
Mradi huo umetekelezwa kwa mafanikio katika kata 3 za Mwamalasa, Masanga na Langana, ambapo vikundi vya maendeleo kumi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKISHAPU YAFANIKIWA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
10 years ago
MichuziWataalam Ngazi ya Kata kutumika kupunguza Athari za Maafa ya Ukame
Akiongea wakati wa Mafunzo juu ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa Wataalam wa Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta, Wilayani Same,...
10 years ago
MichuziWananchi waishukuru serikali kuwajengea uwezo wa kupunguza athari za maafa ya ukame
Wananchi wa Wilayani Same katika kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wameishukuru serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya uratibu maafa, kwa kuwajengea uwezo wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame ambao umekuwa ukizisumbua kata hizo Kutokana na mabadiliko ya Tabia Nchi.
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kujengea jamii uwezo wa kukabili maafa ya ukame imefanikiwa kujenga uwezo huo kupitia vikundi vya maendeleo...
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME
10 years ago
MichuziKishapu bila Maafa ya Ukame inawezekana - Mutagurwa
11 years ago
GPLSHILOLE AANGUSHA JUMBA, MIL. 50 ZATUMIKA
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mil. 537/- zatumika miradi ya maji
SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...