SHILOLE AANGUSHA JUMBA, MIL. 50 ZATUMIKA
Na Hamida Hassan Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’ baada ya kudondosha ndinga aina ya Toyota Lexus lenye thamani ya sh. mil. 25 ambalo alikuwa na ndoto nalo, sasa anashusha mjengo wenye vyumba vinne ulioko Kimara Bonyokwa, Dar. Zuwena Mohammed ‘Shilole’. Akipiga stori na Amani, Shilole alisema kuwa anamshukuru Mungu ameweza kusimamisha mjengo wake na kuonekana mpaka sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLKAJALA AANGUSHA PATI YA MIL.7
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mil. 537/- zatumika miradi ya maji
SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...
11 years ago
GPLDIAMOND KUMNUNULIA WEMA JUMBA LA MIL 125
10 years ago
MichuziMIL. 207 ZATUMIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME KISHAPU
Mradi huo umetekelezwa kwa mafanikio katika kata 3 za Mwamalasa, Masanga na Langana, ambapo vikundi vya maendeleo kumi...
10 years ago
MichuziMil.25 zatumika kila mwaka kusafisha mazingira mbuga ya Mikumi
KIASI cha sh milioni 25 hutumika kila mwaka katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliYopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwa ajili ya shughuli za usafi wa mazingira na kuhudumia wanyama wanaogongwa katika barabara kuu iendayo Iringa na Morogoro inayopita...
11 years ago
GPLBARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
9 years ago
Bongo Movies31 Oct
Wema Aangusha Dua
WEMA Sepetu ‘Madam’ ameangusha dua ya nguvu nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar ikiwa ni maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa ushindi wa rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.
Dua hiyo ilifanyika juzi na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali walioshiriki kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo baada ya kumalizika kwa dua hiyo pamoja na kula chakula, Madam alisimama na kuzungumza:
“Wasanii wenzangu wakumbuke kusoma dua kila...