DIAMOND KUMNUNULIA WEMA JUMBA LA MIL 125
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOQUWC*x15sp6bV7pJFfOylKgUMOZBQLNJrYRA37cQfVxlCNErCzStvkRNRjhoiWhyag2tf-EfAIRFbPc6UDw02Z/diamond.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii. KUNA SABABU? Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko kufuatia taarifa kwamba,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpzGerx3b*scgIzsxnQ-AVeY2ZWHb4BAXUQdkomh6-PqZaSmNdv4J*eWIfWBThXGFhExiVZNUbAIErWW*Ca-HhK7/NyumbaShilole.jpg?width=650)
SHILOLE AANGUSHA JUMBA, MIL. 50 ZATUMIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOT1Eg2mu9cHue*JFD9jXHHgsb0RQAmhmyr5Eo2b13g970whCvyXG7yI9nqggo8MxPiaWN1GTJywJGvTWhQRY7EA/SWIMMINGPOOL.jpg?width=650)
DIAMOND ADONDOSHA SWIMMING POOL KWENYE JUMBA LAKE TEGETA
10 years ago
Bongo527 Nov
Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)