Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mil.25 zatumika kila mwaka kusafisha mazingira mbuga ya Mikumi

Wanachama wa Mtandao wa Habari za Kijamii Tanzania (Mhakita), wakifanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya tamasha la Ujirani Mwema, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, hivi juzi. Picha na Mpigapicha Wetu.
KIASI cha sh milioni 25 hutumika kila mwaka katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliYopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwa ajili ya shughuli za usafi wa mazingira na kuhudumia wanyama wanaogongwa katika barabara kuu iendayo Iringa na Morogoro inayopita...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 537/- zatumika miradi ya maji

SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AANGUSHA JUMBA, MIL. 50 ZATUMIKA

Na Hamida Hassan
Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’  baada ya kudondosha ndinga aina ya Toyota Lexus lenye thamani ya sh. mil. 25 ambalo alikuwa na ndoto nalo, sasa anashusha mjengo wenye vyumba vinne ulioko Kimara Bonyokwa, Dar. Zuwena Mohammed ‘Shilole’. Akipiga stori na Amani,  Shilole alisema kuwa anamshukuru Mungu ameweza kusimamisha mjengo wake na kuonekana mpaka sasa...

 

10 years ago

Michuzi

MATEMBEZI MOSHI — DAR YA KUSAFISHA MAZINGIRA

Kiongozi wa msafara wa wanamazingira waliotembea kwa miguu wakiokota taka za plastiki pembezoni mwa barabara kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro na kuja jijini Dar es Salaam, Felix Garbe (kushoto) akimkabidhi ufagio Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ubungo Kibo Dar es Salaam, Sophia Yusuf ikiwa ni ishara ya kuhamasisha wakazi wa Dar es salaam kuchukua jukumu la kutunza mazingira. Tukio hilo lilifanyika baada ya wanamazingira hao kuwasili jijini Dar es Salaam baada ya safari iliyowachukua muda...

 

10 years ago

Michuzi

MIL. 207 ZATUMIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME KISHAPU

Na.  Mwandishi Maalum. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imefanikiwa kupunguza athari za maafa yatokanayo na ukame wilayani Kishapu kwa kutumia jumla ya Shilingi milioni 207 kwa kutekeleza Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa Kupunguza Athari za Maafa yatokanayo na ukame wilayani humo kwa  kuijengea jamii uwezo wa kupata uhakika wa chakula na kipato.
Mradi huo umetekelezwa kwa mafanikio katika kata 3 za Mwamalasa, Masanga na Langana, ambapo vikundi vya maendeleo kumi...

 

9 years ago

StarTV

 Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko

Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.

Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Siku ya Uhuru: Magufuli ni kama sisi tu, aingia mtaani kusafisha mazingira (Picha)

12345749_1070297212994241_164260733_n

Rais Dkt John Magufuli hana tofauti na sisi wananchi wa kawaida.

12345749_1070297212994241_164260733_n
Rais Dkt Magufuli akishiriki kwenye zoezi la kufanya usafi nchi nzima kuadhimisha miaka 54 tangu uhuru wa Tanganyika

Katika kusherehekea siku ya Uhuru, Magufuli na mke wake Mama Janeth wameunga na wananchi nchini kote kusafisha mazingira.

12298956_930258853735557_1202470643_n
Hapa Usafi Tu

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kutangaza kuondoa sherehe za kitaifa za Uhuru zilizooleka kufanyika kila mwaka na badala yake siku hii itumike kufanya usafi ili...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ASEMA WATAKAOKAMATWA KWA UZURURAJI WATAPEWA ADHABU ZA KUSAFISHA MITARO NA MAZINGIRA NA SIO KULA UGALI WA BURE MAHABUSU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema zoezi la kuwakamata wazururaji katika mkoa huo limeanza rasmi leo ambapo wazururaji watakaokamatwa watapewa adhabu mbalimbali ikiwemo Kusafisha mitaro, Kusafisha barabara, kufyeka nyasi na kulima bustani.

RC Makonda amesema kama kuna watu walidhani watapelekwa mahabusu na kula Chakula cha bure wasahau kabisa jambo hilo.

Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa Uzinduzi wa Shoppers Supermarket ya Mlimani City ambapo ameonyesha kufurahishwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA SOKO KUU LA MANISPAA YA IRINGA.

 Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Meya wa manispaa hiyo Bw. Amani Mwamwindi (wa pili kulia) wakati wafanyakazi hao walipojitokeza kufanya usafi kwenye soko kuu la manispaa ya Iringa mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira. Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani