Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mil. 537/- zatumika miradi ya maji

SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla ameahidi Sh. Milioni 500 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. 

Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo,  alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.

 “Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Miradi miwili ya maji Wilaya ya Mkalama kutumia Sh799 mil

Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, inatarajia kutumia zaidi ya Sh799.4 milioni kwa ajili ya miradi ya maji katika Vijiji vya Ng’ang’uli na Iguguno vilivyopo kwenye mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AANGUSHA JUMBA, MIL. 50 ZATUMIKA

Na Hamida Hassan
Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’  baada ya kudondosha ndinga aina ya Toyota Lexus lenye thamani ya sh. mil. 25 ambalo alikuwa na ndoto nalo, sasa anashusha mjengo wenye vyumba vinne ulioko Kimara Bonyokwa, Dar. Zuwena Mohammed ‘Shilole’. Akipiga stori na Amani,  Shilole alisema kuwa anamshukuru Mungu ameweza kusimamisha mjengo wake na kuonekana mpaka sasa...

 

10 years ago

Michuzi

MIL. 207 ZATUMIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME KISHAPU

Na.  Mwandishi Maalum. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imefanikiwa kupunguza athari za maafa yatokanayo na ukame wilayani Kishapu kwa kutumia jumla ya Shilingi milioni 207 kwa kutekeleza Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa Kupunguza Athari za Maafa yatokanayo na ukame wilayani humo kwa  kuijengea jamii uwezo wa kupata uhakika wa chakula na kipato.
Mradi huo umetekelezwa kwa mafanikio katika kata 3 za Mwamalasa, Masanga na Langana, ambapo vikundi vya maendeleo kumi...

 

10 years ago

Michuzi

Mil.25 zatumika kila mwaka kusafisha mazingira mbuga ya Mikumi

Wanachama wa Mtandao wa Habari za Kijamii Tanzania (Mhakita), wakifanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya tamasha la Ujirani Mwema, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, hivi juzi. Picha na Mpigapicha Wetu.
KIASI cha sh milioni 25 hutumika kila mwaka katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliYopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwa ajili ya shughuli za usafi wa mazingira na kuhudumia wanyama wanaogongwa katika barabara kuu iendayo Iringa na Morogoro inayopita...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

10 years ago

Vijimambo

FILIKUNJOMBE AWATIMIZIA AHADI YA MAJI WANANCHI WA KITEWELE ZAIDI YA TSH MILIONI 26 ZATUMIKA

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akikabidhi masaada wa vitaa vya maji safi vyenye thamani ya Tsh milioni 26 kwa wananchi wa kijiji cha Kitewele kata ya Mawengi Ludewa leoWananchi wa kijiji cha Kitewele kata ya Mawengi Ludewa wakiwa wamebeba bomba za maji zilizotolewa na mbunge wao Deo Filikunjombe kwenda kijijini kwao umbali wa zaidi ya Km 6 kutoka eneo la barabara ziliposhushwa bomba hizoWananchi wa kijiji cha Kitelewe wakishiriki kubeba bomba za maji...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MAJI NA MIFUGO YARIDHISHWA NA MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NCHINI

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo Mh. Subira Mgalu (kushoto) akieleza jambo wakati walipoenda kutembembelea miradi ya Maji kanda ya Kaskazini.
Kamati ya Maji, Mifugo na Uvuvi imeridhishwa na miradi mbalimbali ya Maji iliyotekelezwa kwa kipindi cha miaka 10 ya kuwapatia wananchi huduma ya Majisafi na kupunguza tatizo la uhaba wa Maji hapa nchini. 
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Maji Mh. Selemani Kakoso Wakati wa ziara ya kamati katika kuangalia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani