Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi miwili ya maji Wilaya ya Mkalama kutumia Sh799 mil

Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, inatarajia kutumia zaidi ya Sh799.4 milioni kwa ajili ya miradi ya maji katika Vijiji vya Ng’ang’uli na Iguguno vilivyopo kwenye mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA NA KUKABIDHI MIRADI MIWILI YA MAJI MJINI SONGEA

Hawa Ladha meneja miradi Serengeti breweries, Bw Evans Mlelwa meneja mawasiliano serengeti breweries na Bw Joseph Mkirikiti Mkuu wa Wilaya Songea wakizindua miradi ya maji Songea iliyogharimu zaidi ya millioni 140 hivi karibuni. Kampuni ya Bia ya  Serengeti Breweries kupitia mpango wake wa kusaidia jamii,imekabidhi rasmi mradi wa maji uliopo katika Kituo cha afya cha  Mletele  na kituo cha afya cha Tanga vilivyopo mjini Songea. Mradi huo umezinduliwa rasmi na Mkuu wa  Wilaya Mh. Joseph...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la FU-DI kutumia zaidi ya Mil 90 kwa miradi ya nyuki

DSC00698

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la Future Development Initiatives (FU-DI) lenye makazi yake Ikungi mkoa wa Singida, Jonathan Njau akimkaribisha ofisini kwake rais wa shirikisho la wafuga nyuki duniani, Gilles Ratia.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WAKAZI wa jimbo la Singida mashariki,wamehimizwa kujiunga/kuanzisha vikundi na kuvisajili,ili kujijengea mazingira mazuri ya kunufaika na misaada mbalimbali inayotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Future Development Initiatives (FU-DI)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 537/- zatumika miradi ya maji

SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...

 

10 years ago

Michuzi

MUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla ameahidi Sh. Milioni 500 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. 

Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo,  alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.

 “Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...

 

11 years ago

Habarileo

Ashangaa halmashauri kushindwa kutumia mil 700/- za maji

Amos MakallaNAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameshangazwa na utendaji wa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji hali inayoifanya iwe na kiwango cha chini cha upatikanaji wa maji cha asilimia 35 katika Mji wa Ifakara tofauti na lengo lililowekwa na Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya

TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

TRA mkoa wa Singida, yatoa msaada wa madawati shule ya msingi Isanzu wilaya Mkalama

DSC03256

Meneja TRA mkoa wa Singida, Samson Jumbe (kushoto) akimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Isanzu wilaya ya Mkalama, Sadick Mbiro Abdallah, msaada wa madawati 25 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Katikati mwenye miwani ni Afisa elimu kwa umma (TRA),Zakaria.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Mkalama

Meneja wa mamlaka ya mapato (TRA) Tanzania mkoani Singida, Samsoni Jumbe,amewahimiza  viongozi/watendaji na watu wenye uwezo kiuchumi kujenga utamaduni  wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.


Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.

Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani