Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA NA KUKABIDHI MIRADI MIWILI YA MAJI MJINI SONGEA

Hawa Ladha meneja miradi Serengeti breweries, Bw Evans Mlelwa meneja mawasiliano serengeti breweries na Bw Joseph Mkirikiti Mkuu wa Wilaya Songea wakizindua miradi ya maji Songea iliyogharimu zaidi ya millioni 140 hivi karibuni. Kampuni ya Bia ya  Serengeti Breweries kupitia mpango wake wa kusaidia jamii,imekabidhi rasmi mradi wa maji uliopo katika Kituo cha afya cha  Mletele  na kituo cha afya cha Tanga vilivyopo mjini Songea. Mradi huo umezinduliwa rasmi na Mkuu wa  Wilaya Mh. Joseph...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.

   Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini kote, kushoto kwake ni Meneja wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo, na kulia kwake ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Bwana Tumain iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaaam.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia  Serengeti Allan Chonjo akiongea kwa njia ya sinu na moja wa washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA KUMI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI


  Meneja wa Bia ya Serengeti Rugambo Rodney (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza washindi wa droo ya winda safari ya Brazil na Serengeti iliyofanyika kiwandani Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni ofisa kutoka PWC Bi Golder Kamuzora (Kulia) na afisa mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Humudi Abdulhussein (Kushoto) Meneja wa Bia Serengeti Rugambo Rodney (kulia) akiongea na mmoja wa washindi wa droo ya 10 ya winda safari ya Brazil kwa njia ya simu huku...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar

CAMPIX PRODUCTION

Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDIUA MSIMU WA FIESTA 2014

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . 
Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Bia ya Serengeti kudhamini michuano ya Gofu ya Waitara!

 

CAMPIX PRODUCTION

CAMPIX PRODUCTION

Meneja chapa (vileo kali) wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam kuhusiana na mashindano ya siku moja ya gofu ya kumuenzi Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara yatakayofanyika katika klabu ya Gofu ya Lugalo jumamosi. Kushoto ni katibu wa klabu ya Gofu ya Lugalo Kanali Mstaafu John Nyalusi. Kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MUFINDI NA SONGEA

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Mufindi mara baada ya kuwasili.
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Mufindi na Songea. Akiwa wilayani Mufindi, Mh Makalla amekagua mradi mkubwa wa Maji wa ikilimanzoo na kuelekeza mkandarasi aukamilishe haraka.  Aidha Naibu Waziri huyo wa Maji amekagua na kutoa cheti kwa jumuiya ya watumia maji Mkongotema na Magingo (MAMKO). Leo Ijumaa  ataendelea na ziara yake...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil Kombe la Dunia

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto). Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto).Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.  Pamoja naye ni Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (wa pili kulia) Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam  Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya SerengetiShamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia pia ya Serengeti Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani