MUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI
![](http://3.bp.blogspot.com/-DmiXLrKF4Lg/VD2AZI-ukCI/AAAAAAAGqg0/0bmxLjkTMjE/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla ameahidi Sh. Milioni 500 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.
Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo, alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.
“Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-km_xp0h3WnE/U4ue1w5c-AI/AAAAAAAFnC0/qCqsZpAYEKU/s72-c/New+Picture+(2).png)
BILION 236 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI
Hayo yamesemwa bungeni na waziri wa Maji Mh Prof Jumanne Maghembe wakati akiwasilisha bajeti yake ya makadirio na matumizi kwa mwaka 2014/2015.
Aliainisha kuwa kazi zitakazotekelezwa ni ujenzi na upanuzi wa miradi ya Maji pamoja na ukarabati wa miundo mbinu ya Maji. Kukamilika kwa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mil. 537/- zatumika miradi ya maji
SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Miradi miwili ya maji Wilaya ya Mkalama kutumia Sh799 mil
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OKHWjNyiBXk/XtpOyYaU4qI/AAAAAAALsug/qb5AmY5ZpKUwYA6rDsDNQ70u7D3b8N3ZwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200604-WA0027.jpg)
MAMBA CEMENT YATUMIA MIL.500 KUTENGENEZA MATENKI 2,000 YA KUHIFADHIA MAJI ILI KUPAMBANA NA CORONA
KAMPUNI ya Mamba Cement chini ya Kampuni Mama ya MM Steel, imetumia kiasi cha sh.milioni 500 kutengeneza Matenki 2,000 ya kuhifadhia maji ikiwa ni mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Corona.
Matenki hayo yaliyosambazwa nchi nzima kwa maana ya Tanzania Bara na upande wa Visiwani, Bara yamepatiwa matenki 1000 katika taasisi za Serikali, taasisi binafsi 500 wakati Tanzania Visiwani wakinufaika na matenki 500.
Hayo yalibainishwa na Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3p3KMvhdZmY/VMCs0bPld0I/AAAAAAAG-1k/mxPAP9T0878/s72-c/3.jpg)
Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi
![](http://1.bp.blogspot.com/-3p3KMvhdZmY/VMCs0bPld0I/AAAAAAAG-1k/mxPAP9T0878/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jzdmupVD07I/VMCswcuD1RI/AAAAAAAG-0w/iflIDowcVMc/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DiQhVYP9zj0/VMCs2uskuQI/AAAAAAAG-2U/EiFI6RtU3Is/s1600/7.jpg)
5 years ago
MichuziMRADI WA MAJI PONGWE -MUHEZA UMEFIKIA ASILIMIA 90
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kushoto akimueleza jambo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma Zainabu Vullu kulia wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo la Tanki la Maji litakalotoa maji eneo la Pongwe kupeleka wilayani Muheza wakati wa ziara yako wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Uwasa Dkt Fungo Ally
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Bil.1.3/- kutekeleza miradi Iringa
HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa itatumia sh bilioni 1.3 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kazi wa Kamati ya Mipango na Mazingira kwa kipindi cha robo...
9 years ago
StarTV13 Nov
Vijiji vinne vya wilayani Muheza kunufaika na mradi wa maji
Vijiji vinne vya Milingano, Muungano, Kibaoni na Upare wilayani Muheza mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni moja utahudumia wakazi zaidi ya elfu saba.
Mradi wa maji wa kijiji cha Mlingano ambao chanzo chake kimeanzia katika mto Zigi uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga.
Wananchi wa maeneo hayo wanauona mradi huo kama almasi baada ya kusumbuka kwa muda mrefu wakifuata huduma hiyo mto...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10