Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bil.1.3/- kutekeleza miradi Iringa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa itatumia sh bilioni 1.3 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kazi wa Kamati ya Mipango na Mazingira kwa kipindi cha robo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Magereza waingia ubia kutekeleza miradi mikubwa

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini (CGP), John Minja, amesema kuwa jeshi hilo kwa sasa limeanza kuingia ubia na baadhi ya kampuni za ndani na nje ya nchi ili kutekeleza miradi...

 

11 years ago

Michuzi

BILION 236 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI

Serikali imetenga zaidi ya bilioni 270 kwa ajili ya miradi ya Maji vijijini kwa kipindi cha mwaka 2014/2015 chini ya mpango wa utekelezaji matokeo makubwa sasa ambapo vijiji 1,239 vitanufaika na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa bungeni na waziri wa Maji Mh Prof Jumanne Maghembe wakati akiwasilisha bajeti yake ya makadirio na matumizi kwa mwaka 2014/2015.
Aliainisha kuwa kazi zitakazotekelezwa ni ujenzi na upanuzi wa miradi ya Maji pamoja na ukarabati wa miundo mbinu ya Maji. Kukamilika kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AAHIDI KUTEKELEZA MIRADI YA AFYA BRN

Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue ameeleza kufurahishwa na miradi ya sekta ya afya inayopendekezwa kuingia katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Balozi Sefue aliyasema hayo mara baada ya kutembelea jijini Dar es Salaam juzi, maabara inayokutanisha wataalamu mbalimbali kutoka SErikali na sekta binafsi wanaochambua miradi michache ya afya itakayoingizwa katika mfumo wa utekelezaji wa haraka wa miradi wa BRN.
“Binafsi nimefurahishwa na maeneo ya kipaumbele mnayoendelea...

 

10 years ago

Michuzi

MUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makalla ameahidi Sh. Milioni 500 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. 

Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo,  alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.

 “Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI ITAKAYOWEZESHA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI.

1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Vijana na kuwataka kutumia elimu na ujuzi walioupata katika mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu katika kuisaidia serikali kutimiza dhamira yake ya kuwainua vijana kiuchumi, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu kwa Maafisa Vijana jijini Arusha. 2Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uongozi cha Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI) Prof Bonard Mwape akiwaeleza...

 

10 years ago

Habarileo

Miradi ya UN nchini yasaidiwa bil. 42/-

SWEDEN imeyapatia mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopo hapa nchini jumla ya Sh bilioni 42 kusaidia miradi yake ya maendeleo inayofanya Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wazindua miradi ya bil. 5.6/-

MIRADI nane yenye thamani ya sh. bilioni 5.6 imetembelewa na kuzinduliwa na mbio za mwenge katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam huku kiongozi wa mbio hizo...

 

5 years ago

Michuzi

WAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA

KAIMU Mkurugenzi wa Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amos Maganga kushoto akizungumza wakati wa ziara  kufanya tathimini kuona wakandarasi wamefikia hatua gani mpaka sasa wametembelea kwenye kazi walianzia Mkoani Manyara kijiji cha Terati na wapo mkoa wa Tanga katika wilaya ya Mkinga kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya REA Tanzania Julius Kalolo .Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani Kitandula ambaye pia ni  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Madini na...

 

10 years ago

Michuzi

Meya Manispaa ya Kinondoni aagiza Wenyeviti kusimamia Watendaji kutekeleza Miradi

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikata utepe kuzindua Daraja la Mabwepande, Dar es Salaam hivi karibuni.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Nati akizungumza wakati wa kikao cha wenyeviti wa Serikali za Mitaa,uliofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na wenyeviti wa Serikali za Mitaa.Wenyeviti wa Serikali za mitaa, manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Meya Yusuph Mwenda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani