Wahitimu kutoka vyuo visivyosajiliwa kutoajiriwa
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma,Celina Kombani, akizungumza kwenye mahafali ya 20 ya chuo cha uhazili Tanzania mjini Singida. Kombani aliwaasa wahitimu hao 4,960, kwamba wasiridhike na elimu waliyopata, bali waongeze bidii zaidi katika kujiendeleza.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAZIRI wa nchi ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Celina Kombani,amesisitiza kwamba serikali haitaajiri wahitimu wo wote kutoka kwenye vyuo ambavyo havijasajiliwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Serikali kutoajiri wahitimu wa vyuo visivyosajiliwa
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma,Celina Kombani, akizungumza kwenye mahafali ya 20 ya chuo cha uhazili Tanzania mjini Singida. Kombani aliwaasa wahitimu hao 4,960, kwamba wasiridhike na elimu waliyopata, bali waongeze bidii zaidi katika kujiendeleza.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAZIRI wa nchi ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Celina Kombani,amesisitiza kwamba serikali haitaajiri wahitimu wo wote kutoka kwenye vyuo ambavyo havijasajiliwa...
11 years ago
Habarileo17 Dec
'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'
VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.
11 years ago
Habarileo31 Jul
‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’
UBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu vyuo vikuu wahimizwa kujiajiri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, Harun Ali Suleiman amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia taaluma zao kwa lengo la kujiajiri badala ya kusubiri ajira serikalini.
11 years ago
Habarileo20 Mar
‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’
KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘Wahitimu Vyuo Vikuu msisubiri kuajiriwa’
WAHITIMU wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kutumia elimu waliyoipata katika kujiajiri na kubuni miradi mbalimbali ya maendelo badala ya kusubiri kuajiriwa na serikali au makampuni binafsi. Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki...
11 years ago
GPLJOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI
11 years ago
MichuziJokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri
10 years ago
Habarileo15 Dec
Vyuo vikuu vyaaswa kupitia upya mitaala wahitimu kujiajiri
VYUO vikuu nchini vimeshauriwa kuangalia upya mitaala yao ili viwe na mfumo wa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri mara baada ya kuhitimu masomo yao ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira uliopo hivi sasa.