NAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki...
Michuzi