Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kidato cha kwanza kufanya udahili wa pamoja

SERIKALI imesema ina mpango wa kuanzisha udahili wa pamoja wa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kujiunga na shule za sekondari za serikali na binafsi. Msemaji wa Wizara ya Elimu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

2,466 waingia kidato cha kwanza Tarime

WANAFUNZI 2,466 kati ya 4,762 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka jana kuingia kidato cha kwanza 2015 wamefaulu kujiunga na shule za sekondari wakiwemo wavulana 1,527 na wasichana 937.

 

10 years ago

GPL

DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!


Na Kulwa Mwaibale
MSIBA! Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati akiogelea.
Tukio hilo lililoacha majonzi kwa ndugu, jamaa, marafiki na wanafunzi wenzake, lilijiri Juni 26, mwaka huu, majira ya alasiri. Mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar, Mohamed Juma (14) amefia bwawani...

 

11 years ago

Habarileo

Kidato cha kwanza 2014 kudahiliwa kielektroniki

 Profesa Eustella BhalalusesaWIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,kuanzia mwaka huu imeanza kutumia mfumo wa kielektroniki kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza.

 

10 years ago

Habarileo

RC acharuka kidato cha kwanza kutokwenda shule

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella ManyanyaMKUU wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya ameagiza kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani humo kufanya hivyo mara moja huku akisema suala hilo ni la lazima na si hiyari tena.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 500,000 wachaguliwa kidato cha kwanza

Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa kupata alama A, B na C, wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za sekondari za Serikali katika awamu ya kwanza. Idadi hiyo ni sawa na asilimia 97.3 ya wanafunzi waliofaulu na wenye sifa ya kujiunga na kidato cha kwanza.

 

9 years ago

Mwananchi

Wazazi kuweni makini na maandalizi ya kidato cha kwanza

Katika kipindi kinachoanzia Septemba hadi mwanzoni mwa kila mwaka mpya, kunakuwapo na pilikapilika nyingi za wazazi na walezi wa watoto wanaomaliza darasa la saba za kuwaandaa wajiunge na kidato cha kwanza katika shule za sekondari.

 

10 years ago

Dewji Blog

11,380 Singida, wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza

DSC02779

Katibu tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye kikao cha mkoa cha kupangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu,ili kuanza kidato cha kwanza mwakani.Wa kwanza kulia ni katibu tawala msaidizi kwa upande wa sekta ya elimu sekretarieti ya Mkoa,Fatuma Kilimia na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi.

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya wanafunzi 11,380 mkoani Singida, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani,...

 

10 years ago

Mwananchi

Asilimia 97 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2015

Jumla ya wanafunzi 438,960 kati ya wanafunzi 451,392 waliohiyimu elimu ya msingi mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani