Wanafunzi 500,000 wachaguliwa kidato cha kwanza
Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa kupata alama A, B na C, wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za sekondari za Serikali katika awamu ya kwanza. Idadi hiyo ni sawa na asilimia 97.3 ya wanafunzi waliofaulu na wenye sifa ya kujiunga na kidato cha kwanza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
11,380 Singida, wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza
Katibu tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye kikao cha mkoa cha kupangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu,ili kuanza kidato cha kwanza mwakani.Wa kwanza kulia ni katibu tawala msaidizi kwa upande wa sekta ya elimu sekretarieti ya Mkoa,Fatuma Kilimia na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi.
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya wanafunzi 11,380 mkoani Singida, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani,...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Asilimia 97 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2015
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Wanafunzi 2,006 hawajaripoti kidato cha kwanza mkoani Singida
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya wanafunzi 2,006 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu mkoani hapa bado hawajaripoti katika shule walizopangiwa.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Afisa Kazi Sekretariati mkoani Singida,Jacob Elias wakati akitoa taarifa ya usajili wa wanafunzi kidato cha kwanza mwaka huu mbele ya kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Chuo cha Mafunzo...
10 years ago
GPLWANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Wanafunzi 15,312 mkoani Iringa kujiunga na kidato cha kwa kwanza 2016
(Picha na Maktaba).
IRINGA: Ufaulu wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2015 mkoani Iringa umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, ambapo ufaulu kwa mwaka huu ni asilimia 73.25, wakati mwaka jana ulikuwa ni asilimia 68.58, sawa na ongezeko la asimilia 4.67.
Hayo yalisemwa na Afisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Iringa, Euzebio Mtavangu hivi karibuni wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2015 kwa wajumbe wa kamati...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Robo tatu ya waliofaulu wachaguliwa kidato cha V
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SKrIC3RTpc8/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19