Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 2,006 hawajaripoti kidato cha kwanza mkoani Singida

Shukuru Kawambwa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya wanafunzi 2,006 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu mkoani hapa bado hawajaripoti katika shule walizopangiwa.

Hayo yamesemwa hivi karibuni na Afisa Kazi Sekretariati mkoani Singida,Jacob Elias wakati akitoa taarifa ya usajili wa wanafunzi kidato cha kwanza mwaka huu mbele ya kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Chuo cha Mafunzo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi 15,312 mkoani Iringa kujiunga na kidato cha kwa kwanza 2016

0,,16509000_303,00

(Picha na Maktaba).

IRINGA: Ufaulu wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2015 mkoani Iringa umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, ambapo ufaulu kwa mwaka huu ni asilimia 73.25, wakati mwaka jana ulikuwa ni asilimia 68.58, sawa na ongezeko la asimilia 4.67.

Hayo yalisemwa na Afisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Iringa, Euzebio Mtavangu hivi karibuni wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2015 kwa wajumbe wa kamati...

 

10 years ago

Dewji Blog

11,380 Singida, wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza

DSC02779

Katibu tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye kikao cha mkoa cha kupangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu,ili kuanza kidato cha kwanza mwakani.Wa kwanza kulia ni katibu tawala msaidizi kwa upande wa sekta ya elimu sekretarieti ya Mkoa,Fatuma Kilimia na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi.

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya wanafunzi 11,380 mkoani Singida, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani,...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 500,000 wachaguliwa kidato cha kwanza

Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa kupata alama A, B na C, wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za sekondari za Serikali katika awamu ya kwanza. Idadi hiyo ni sawa na asilimia 97.3 ya wanafunzi waliofaulu na wenye sifa ya kujiunga na kidato cha kwanza.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA

Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini. NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za  TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA NNE KENYAMANYORI SEKONDARI MKOANI MARA YAFANA.

Afisa Elimu Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara George Ogutu akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Kenyamanyori iliyopo katika halmashauri hiyo.Ogutu alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ambayo yalifanyika jana Octoba 02,2015 katika Viunga vya Shule hiyo ambayo wakati inaanza kupokea wanafunzi wanaohitimu mwaka huu ilikuwa ni shule ya Kijiji cha Kenyamanyori na ilijengwa kwa nguvu za wakazi wa kijiji hicho ambao asilimia kubwa ni wakulima na...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 56 ya wanafunzi hawajaripoti shule

ASILIMIA 56 ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wilayani Nkasi hawajaripoti shuleni kutokana na sababu mbalimbali, ukiwamo mwamko mdogo wa elimu kwa wazazi. Wanafunzi hao hawaonekani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani