Wazazi kuweni makini na maandalizi ya kidato cha kwanza
Katika kipindi kinachoanzia Septemba hadi mwanzoni mwa kila mwaka mpya, kunakuwapo na pilikapilika nyingi za wazazi na walezi wa watoto wanaomaliza darasa la saba za kuwaandaa wajiunge na kidato cha kwanza katika shule za sekondari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Matokeo kidato cha nne ni hujuma kwa wazazi
NIANZE kwa kukushukuru wewe unayeendelea kuwa msomaji na mfuatiliaji wa makala zangu kupitia gazeti letu hili tukufu. Hoja na maswali yako ndiyo chachu ya mimi kuendelea kuandika tafakuri mbalimbali kuhusu...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Wanasheria kuweni makini na mikataba’
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
RC: Wakulima kuweni makini na mikataba
WAKULIMA wa zao la mpunga, mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wanapotaka kuingia mikataba na makampuni mbalimbali yanayojihusisha na kilimo sambamba na benki zinazotoa mikopo ambayo lengo lao kubwa ni kutaka...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
NHC: Kuweni makini na madalali
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Kidato cha kwanza kufanya udahili wa pamoja
SERIKALI imesema ina mpango wa kuanzisha udahili wa pamoja wa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kujiunga na shule za sekondari za serikali na binafsi. Msemaji wa Wizara ya Elimu...
11 years ago
Habarileo22 Dec
Kidato cha kwanza 2014 kudahiliwa kielektroniki
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,kuanzia mwaka huu imeanza kutumia mfumo wa kielektroniki kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza.
10 years ago
Habarileo23 Jan
RC acharuka kidato cha kwanza kutokwenda shule
MKUU wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya ameagiza kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani humo kufanya hivyo mara moja huku akisema suala hilo ni la lazima na si hiyari tena.
10 years ago
Habarileo14 Jan
2,466 waingia kidato cha kwanza Tarime
WANAFUNZI 2,466 kati ya 4,762 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka jana kuingia kidato cha kwanza 2015 wamefaulu kujiunga na shule za sekondari wakiwemo wavulana 1,527 na wasichana 937.