Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AQRB iwafute wababaisha — Kandoro

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, ameishauri  Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuwafuta  wabunifu na wakadiriaji majenzi wababaishaji. Kandoro alisema watu hao  wamekuwa wakichafua sifa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chalenji iwafute machozi Watanzania

Mashindano ya Kombe la Chalenji yanayoshirikisha nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati yanaendelea mjini Addis Ababa, Ethiopia yakishirikisha nchi 11 zinazounda kanda hiyo ya Cecafa.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa 22 wa AQRB

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO

Rais mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 22 wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utakaofanyika Septemba 18 2014.
Msajili wa Bodi ya AQRB Bwana Jehad Abdalah Jehad amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bwana Jehad alisema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuendeleza wataaluma wa fani ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Kandoro ajitwika zigo Sokoine

HATUA ya Chama cha Soka mkoani hapa (MREFA), kwa kushirikina na wamiliki wa Uwanja wa Sokoine kushindwa kuukarabati umeishtua Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa na kuamua kuingilia kati kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kandoro awavaa madereva alfajiri

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro mwishoni mwa wiki alifanya jambo la aina yake baada ya kufanya mkutano wa hadhara saa 11.00 alfajiri, katika kituo kikuu cha mabasi uliowahusha abiria na madereva wa mabasi makubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kandoro aonya waharibifu miundombinu

 MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amekemea tabia inayofanywa na baadhi ya wananchi wasio wazalendo, ambao hubomoa kwa makusudi kingo za madaraja katika barabara kuu kwa lengo la kupata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kandoro: Viongozi wanakwamisha uhifadhi mazingira

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amesema kampeni ya uhifadhi wa mazingira inakuwa ngumu kufikia malengo kutoka na baadhi ya viongozi waliyopewa dhamana ya kusimamia kuwa vinara wa kuvunja...

 

11 years ago

Mwananchi

Kandoro aikataa taarifa ya fedha Mbozi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro aikataa taarifa ya matumizi ya fedha zaidi ya Sh174 milioni za miradi miwili ya bwawa la maji katika Kijiji cha Iyula na Msia wilayani hapa na kutoa wiki moja kwa halmashauri ya wilaya kutoa maelezo sahihi ya miradi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mohamed Said Abdallah na Saadan Abdu Kandoro

Tunaendelea na maelezo kuhusu mchango wa Hayati Kaluta Amri Abeid, gwiji wa mashairi ya Kiswahili. Alikuwa pia na kipaji cha kusoma mashairi ya Kiingereza, Kiarabu, Kiajemi na Kiurdu. Mchango wake katika lugha ya Kiswahili ni mkubwa. Mwandishi mashuhuri Mathias Eugen Mnyampala akiandika juu ya maisha yake, alimtaja Kaluta  Amri Abeid kama mtu hodari wa kutumia lugha ya Kiswahili katika fani ya kuimba Tajiwidi, mashairi na tenzi kwa mahadhi ya namna mbalimbali ya maghani.

 

10 years ago

Habarileo

Kandoro aingilia kati sakata la mjamzito

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas KandoroSAKATA la unyanyasaji aliofanyiwa mjamzito Judith Komba siku ya kujifungua katika hospitali ya Rufaa kitengo cha wazazi cha Meta, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuagiza wauguzi waliokuwa zamu siku ya tukio wachukuliwe hatua stahiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani