Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kandoro aikataa taarifa ya fedha Mbozi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro aikataa taarifa ya matumizi ya fedha zaidi ya Sh174 milioni za miradi miwili ya bwawa la maji katika Kijiji cha Iyula na Msia wilayani hapa na kutoa wiki moja kwa halmashauri ya wilaya kutoa maelezo sahihi ya miradi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : CCM ijihadhari majimbo ya Mbarali, Mbozi Magharibi na Mbozi Mashariki

Jimbo la Mbarali kama yalivyo mengine lilianza siasa za vyama vingi mwaka 1995 kwa ushawishi wa kipekee kutoka kwa vyama mbalimbali, huku NCCR Mageuzi ikionyesha kila aina ya makeke.

 

10 years ago

GPL

DK. SLAA AVISHWA VAZI LA KICHIFU, APEWA JINA LA 'MWENE WA MBOZI' HUKO MBOZI MKOANI MBEYA

Kiongozi wa Machifu wa Kabila la Wanyiha, Greenwell Msangawale akimvisha vazi maalum la kichifu Dk.Slaa. Kiongozi wa Machifu wa Kabila la Wanyiha, Greenwell Msangawale akiongea na wananchi wa Mbozi baada ya zoezi hilo.…

 

10 years ago

GPL

Mwashuiya aikataa jezi Yanga

Kiungo mahiri anayekuja kwa kwa kasi ndani ya Yanga, Geofrey Mwashiuya. Said Ally na Saphyna Mlawa
KIUNGO mahiri anayekuja kwa kwa kasi ndani ya Yanga, Geofrey Mwashiuya amechukua maamuzi magumu magumu ndani ya klabu hiyo kwa kuikataa jezi namba 19 aliyopewa na uongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kuitumia katika msimu ujao. Kiungo huyo ambaye jana alipewa mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo alisema hataki kuvaa jezi hiyo bali...

 

11 years ago

GPL

Bobby Williamson aikataa Yanga rasmi

Kocha Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson, amesema hataondoka katika klabu hiyo, hivyo Yanga wamsamehe.
Williamson amesema hana mpango wa kuja nchini kuifundisha Yanga kwa kuwa anaamini Gor Mahia kwa sasa ni sehemu sahihi kwake. Akizungumza jana na gazeti hili, Williamson alisema amepata taarifa za Yanga kumfuatilia, lakini amekuwa akiwaeleza ukweli....

 

10 years ago

Mwananchi

Raphael Kiongera aikataa jezi ya Mosoti Simba

Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera amegoma kupokea jezi namba 5 kwa madai kuwa hawezi kuivaa badala ya Donald Mosoti na kutaka atafutiwe namba nyingine.

 

9 years ago

BBCSwahili

Facebook yashtakiwa kwa kuhodhi taarifa za fedha

Facebook inakabiliwa na mashtaka mawili ya ukiukaji wa haki za wawekezaji wake ilipowanyima maelezo kamili kuhusiana na hisa zake mwaka wa 2012.

 

9 years ago

Dewji Blog

Phil Neville aikataa Uingereza, ataka kufundisha Hispania

phil-neville-valencia_3383469

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha msaidizi wa Valencia ya Hispania, Phil Neville (pichani) amesema hana mpango wa kurudi Uingereza kufundisha soka na anapenda kusalia kufundisha soka Hispania ambapo anaamini ni sehemu sahihi kwake kufundisha.

Neville ambaye aliwahi kuchezea Manchester United na Everton zote za Uingereza na baadae kuwa kocha msaidizi wa Manchester United kwa miezi 10 baada ya kocha mkuu, David Moyes kutimuliwa kazi, alikiambia kituo cha michezo cha Skysport kuwa inawezekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani