Phil Neville aikataa Uingereza, ataka kufundisha Hispania
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha msaidizi wa Valencia ya Hispania, Phil Neville (pichani) amesema hana mpango wa kurudi Uingereza kufundisha soka na anapenda kusalia kufundisha soka Hispania ambapo anaamini ni sehemu sahihi kwake kufundisha.
Neville ambaye aliwahi kuchezea Manchester United na Everton zote za Uingereza na baadae kuwa kocha msaidizi wa Manchester United kwa miezi 10 baada ya kocha mkuu, David Moyes kutimuliwa kazi, alikiambia kituo cha michezo cha Skysport kuwa inawezekana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Gary Neville ateuliwa kuwa kocha mpya wa Valencia ataungana na ndugu yake Phil Neville
Beki wa zamani wa kulia wa Manchester United na Uingereza Gary Neville ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Valencia hadi mwisho wa msimu.
Neville, 40, ataanza rasmi majukumu yake kamili Jumapili, na atasalia kwenye benchi la wakufunzi la Uingereza. Peter Lim, mmiliki wa Valencia anayetoka Singapore, ana hisa katika klabu ya Salford City, ambayo Neville ni mmiliki mwenza.
Kaka yake Neville, Phil, aliyejiunga na klabu hiyo ya Uhispania kama meneja msaidizi Julai atasalia kwenye benchi la...
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Nahitaji changamoto mpya, nataka kufundisha Uingereza – Guardiola
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola (pichani) amesema anataka kupata changamoto mpya katika maisha yake ya soka na anataka kwenda kufundisha Uingereza baada ya kugoma kuongeza mkataba Bayern Munich na nafasi yake kuchukuliwa na Carlo Ancelotti.
Vilabu vya Manchester United, Mancheter City na Chelsea vyote vya Uingereza tayari vinaonekana kumuhitaji kocha huyo wa zamani wa Barcelona ambaye anaonekana kupata mafanikio kwa klabu zote ambazo amekuwa akizifundisha...
10 years ago
Africanjam.ComIFAHAMU 'HOTEL FOOTBALL' INAYOMILIKIWA NA G.NEVILLE, GIGGS, SCHOLES, P.NEVILLE NA BUTT
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Cameron ataka Uingereza kushambulia IS
10 years ago
GPLMwashuiya aikataa jezi Yanga
11 years ago
GPLBobby Williamson aikataa Yanga rasmi
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Kandoro aikataa taarifa ya fedha Mbozi