Nahitaji changamoto mpya, nataka kufundisha Uingereza – Guardiola
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola (pichani) amesema anataka kupata changamoto mpya katika maisha yake ya soka na anataka kwenda kufundisha Uingereza baada ya kugoma kuongeza mkataba Bayern Munich na nafasi yake kuchukuliwa na Carlo Ancelotti.
Vilabu vya Manchester United, Mancheter City na Chelsea vyote vya Uingereza tayari vinaonekana kumuhitaji kocha huyo wa zamani wa Barcelona ambaye anaonekana kupata mafanikio kwa klabu zote ambazo amekuwa akizifundisha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Phil Neville aikataa Uingereza, ataka kufundisha Hispania
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha msaidizi wa Valencia ya Hispania, Phil Neville (pichani) amesema hana mpango wa kurudi Uingereza kufundisha soka na anapenda kusalia kufundisha soka Hispania ambapo anaamini ni sehemu sahihi kwake kufundisha.
Neville ambaye aliwahi kuchezea Manchester United na Everton zote za Uingereza na baadae kuwa kocha msaidizi wa Manchester United kwa miezi 10 baada ya kocha mkuu, David Moyes kutimuliwa kazi, alikiambia kituo cha michezo cha Skysport kuwa inawezekana...
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Guardiola asema atahamia Uingereza
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-rSmW9sdQNww/VN7cfQvBmEI/AAAAAAAAoTo/_JXXxBt_fdI/s72-c/MUTUZ.jpg)
Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '
![](http://3.bp.blogspot.com/-rSmW9sdQNww/VN7cfQvBmEI/AAAAAAAAoTo/_JXXxBt_fdI/s640/MUTUZ.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Changamoto mpya za uchaguzi mwaka huu
10 years ago
Habarileo31 Jan
Mugabe Mwenyekiti mpya AU, aeleza changamoto
VIONGOZI wa Mataifa ya Afrika jana wamemchagua Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU).
9 years ago
BBCSwahili12 Sep
Upinzani Uingereza wana kiongozi mpya
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Uingereza yateua balozi mpya Kenya
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Vilabu Uingereza vyaweka rekodi mpya Usajili
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Kipato, mavazi, changamoto kuu kwa uongozi mpya Bongo Movie
JANUARI 5, mwaka huu Klabu ya waigizaji ya Bongo Movie ilifanya uchaguzi wake wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza kwa mwaka mzima wa 2014 kama katiba yao inavyotamka. Katika uchaguzi huo...