Guardiola asema atahamia Uingereza
Meneja wa Bayern Munich Pep Guardiola amesema kwamba atahama hiyo mwisho wa msimu na kwamba anapanga kuhamia Uingereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Nahitaji changamoto mpya, nataka kufundisha Uingereza – Guardiola
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola (pichani) amesema anataka kupata changamoto mpya katika maisha yake ya soka na anataka kwenda kufundisha Uingereza baada ya kugoma kuongeza mkataba Bayern Munich na nafasi yake kuchukuliwa na Carlo Ancelotti.
Vilabu vya Manchester United, Mancheter City na Chelsea vyote vya Uingereza tayari vinaonekana kumuhitaji kocha huyo wa zamani wa Barcelona ambaye anaonekana kupata mafanikio kwa klabu zote ambazo amekuwa akizifundisha...
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kahaba mkongwe Uingereza asema ana mvuto!
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ni lazima apumzike, asema baba yake
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Lahm anogewa na Guardiola
MUNICH, Ujerumani
NAHODHA wa Bayern Munich, Philipp Lahm, amemtaka kocha wa klabu hiyo, Mhispania Pep Guardiola, aongeze mkataba wa kuendelea kukinoa kikosi hicho.
Lahm alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichoibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Cologne katika mchezo wa Bundersliga uliopigwa kwenye dimba la Allianz Arena mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkataba wa Guardiola na Bayern utamalizika mwakani, huku kocha huyo akiwa kimya juu ya mustakabali wake baada ya kumalizika kwa mkataba...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Guardiola arejea Barcelona
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Pellegrini:''Guardiola hanitishi''
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
'Ni vigumu kuidhibiti Arsenal 'Guardiola
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Guardiola kuweka wazi hatima
11 years ago
Mwananchi01 May
Pep Guardiola: Nilaumiwe mimi