Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto mpya za uchaguzi mwaka huu

Kama kuna Uchaguzi Mkuu utakaokuwa na changamoto kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi, basi ni huu utakaofanyika Oktoba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Director Nisher afunguka mengi kuhusu ukimya wake na changamoto alizopata mwaka huu

Nisher7

Mshindi wa tuzo ya Muongozaji Wa Video Anayependwa katika Tuzo Za Watu 2014, director Nisher amefunguka kwa kirefu mambo mbalimbali kuhusu ukimya wake.

nisher intro

Muongozaji huyo wa video za muziki kutoka Arusha aliyekuja kwa kasi na kuwa gumzo kutokana na video kali alizotoa kuleta ushindani, amepiga story na Bongo5 na kuzungumzia mambo yaliyosababisha ukimya wake pamoja na changamoto alizokutana nazo mwaka huu.

2014 ni mwaka ambao ulifanya vizuri sana ikiwa ni pamoja na kushinda Tuzo Za Watu, na...

 

9 years ago

GPL

9 years ago

Mwananchi

Kasoro uchaguzi mwaka huu zitafutiwe dawa

Ni dhahiri kwamba Watanzania wameonyesha ukomavu mwingi ambao unazidi kuwaweka kwenye rekodi za kujivunia kwa miaka mingi ijayo.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Uchaguzi mwaka huu utakuwa wagombea na makapi

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, utakuwa kati ya wagombea na makapi ya CCM na wananchi watachagua wagombea wa chama hicho tawala.

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi  wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na  Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
 Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Sh. bilioni 268 kutumika Uchaguzi Mkuu mwaka huu

Zaidi ya Sh. bilioni 268 zinatarajiwa kutumikia katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu utakaowapa fursa Watanzania kuchagua madiwani, wabunge na Rais ajae.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyasema hayo jana wakati akiahirisha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa maandalizi ya uchaguzi huo yanaenda vizuri.
Alisema vifaa mbalimbali kwa ajili kuufanikisha uchaguzi huo tayari vimeanza kununuliwa.

Pinda alisema kuwa miongoni mwa maandalizi ya uchaguzi huo ni uandikishaji wa daftari la kudumu la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani