UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-aQuT2LGMQ6M/VVs2D4rLpiI/AAAAAAAC4tg/8eGisUk0qeo/s72-c/KINYOYA.jpg)
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORSGJBhpIG6uCjboMYKY2zp0DSUul0a4xHDfsTZFMJGIeqtNunWukue6t2ZCwdj9wcJqViKMrEBvWNa5yYAjCNJ/amir.jpg)
UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16 MWAKA HUU
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment Dominic Mosha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Iadara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Mosha alisema kuwa Tamasha la mwaka huu litakuwa na kauli mbiu ya “ANZA KUKIMBIA, UJIKINGE NA MAGONJWA...
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA BAGAMOYO JUNI 14 MWAKA HUU
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kutangazwa kwa Tamasha la Historical Marathoni litakalofanyika...
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
10 years ago
Dewji Blog29 May
Siku ya Mazingira Kitaifa kufanyika Mkoani Tanga, Juni 5 mwaka huu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge (Pichani)
NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira...
9 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU