Bobby Williamson aikataa Yanga rasmi
![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-897F74NRc*4VsHLDDSMUla96YbfVgD9qMRu6YgJFx3MS0DZSR-J5-utStEO-GwpfrGNAnN*13tpNIlryIxpuH5/BOBBY.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson. Na Sweetbert Lukonge KOCHA Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson, amesema hataondoka katika klabu hiyo, hivyo Yanga wamsamehe. Williamson amesema hana mpango wa kuja nchini kuifundisha Yanga kwa kuwa anaamini Gor Mahia kwa sasa ni sehemu sahihi kwake. Akizungumza jana na gazeti hili, Williamson alisema amepata taarifa za Yanga kumfuatilia, lakini amekuwa akiwaeleza ukweli....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Bobby Williamson ni kocha wa Kenya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DRt5qSnWStWX2x7sxWpVBngBodos*q8hSwM0CVqcBDjpJZkCv-K0C7BSbdqK0guvcAtCqXodJXYbZ8IhzSbGfwd/jjj.gif?width=650)
Mwashuiya aikataa jezi Yanga
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Yanga yamng’ang’ania Bob Williamson
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Kandoro aikataa taarifa ya fedha Mbozi
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76981000/jpg/_76981692_bobby1.jpg)
Williamson waits for Kenya confirmation
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76758000/jpg/_76758706_williamson_andy_gooch_2.jpg)
Williamson appointed Kenya coach
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77079000/jpg/_77079929_bobby1.jpg)
Williamson signs on to coach Kenya
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Raphael Kiongera aikataa jezi ya Mosoti Simba
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Phil Neville aikataa Uingereza, ataka kufundisha Hispania
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha msaidizi wa Valencia ya Hispania, Phil Neville (pichani) amesema hana mpango wa kurudi Uingereza kufundisha soka na anapenda kusalia kufundisha soka Hispania ambapo anaamini ni sehemu sahihi kwake kufundisha.
Neville ambaye aliwahi kuchezea Manchester United na Everton zote za Uingereza na baadae kuwa kocha msaidizi wa Manchester United kwa miezi 10 baada ya kocha mkuu, David Moyes kutimuliwa kazi, alikiambia kituo cha michezo cha Skysport kuwa inawezekana...