Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwashuiya aikataa jezi Yanga

Kiungo mahiri anayekuja kwa kwa kasi ndani ya Yanga, Geofrey Mwashiuya. Said Ally na Saphyna Mlawa
KIUNGO mahiri anayekuja kwa kwa kasi ndani ya Yanga, Geofrey Mwashiuya amechukua maamuzi magumu magumu ndani ya klabu hiyo kwa kuikataa jezi namba 19 aliyopewa na uongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kuitumia katika msimu ujao. Kiungo huyo ambaye jana alipewa mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo alisema hataki kuvaa jezi hiyo bali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Raphael Kiongera aikataa jezi ya Mosoti Simba

Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera amegoma kupokea jezi namba 5 kwa madai kuwa hawezi kuivaa badala ya Donald Mosoti na kutaka atafutiwe namba nyingine.

 

11 years ago

GPL

Bobby Williamson aikataa Yanga rasmi

Kocha Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Gor Mahia, Bobby Williamson, amesema hataondoka katika klabu hiyo, hivyo Yanga wamsamehe.
Williamson amesema hana mpango wa kuja nchini kuifundisha Yanga kwa kuwa anaamini Gor Mahia kwa sasa ni sehemu sahihi kwake. Akizungumza jana na gazeti hili, Williamson alisema amepata taarifa za Yanga kumfuatilia, lakini amekuwa akiwaeleza ukweli....

 

11 years ago

GPL

Jaja akataa jezi Yanga

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Na Wilbert Molandi
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mbrazili, Genilson Santos Santana ‘Jaja’, ameikataa jezi namba 15 na kuomba 9, atakayoitumia kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Awali, jezi hiyo namba 9 ilikuwa ikivaliwa na mshambuliaji raia wa Cameroon, Robert Jama Mba na Reliants Lusajo waliotimuliwa kabla ya Mrisho Ngassa,...

 

10 years ago

Vijimambo

Shinda jezi ya Yanga kutoka Goal


Shinda jezi ya Yanga kutoka Goal
Goal inatoa nafasi kwa msomaji mmoja kujishindia Jezi ya YangaShare habari hii nzuri na rafiki zako na unaweza pata nafasi ya kujishindia Jezi ya Yanga iliosainiwa na Nadir Haroub Haroub “Cannavaro” na Haruna NiyonzimaUnachotakiwa ni kulike page ya Goal kwenye Facebook na kutufollow Twitter na kasha share hii post kwenye wall yako na marafiki zakoOfa hii ipo wazi mpaka Jumapili Aprili 4, shiriki sasa upate kujishindia zawadi hii toka Goal
Follow Goal Tanzania...

 

11 years ago

GPL

Loga amgawia jezi ya Simba, mchungaji Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zadravko Logarusic ametoa zawadi ya jezi ya Simba kwa mchungaji wa kanisa la Katoliki ambaye ni shabiki wa Yanga na akaipokea bila ya matatizo.

Logarusic maarufu kama Loga amewasilisha zawadi hiyo siku tatu zilizopita katika mji aliozaliwa wa Slavonski Brod ambao mchungaji, Josephat Mosha amekuwa akifanya kazi kwa miaka nane sasa.

Mosha raia wa...

 

10 years ago

Bongo5

Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa

Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1. Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi […]

 

9 years ago

Vijimambo

TBL YATOA JEZI KWA MECHI YA SIMBA NA YANGA DMV AUG 29, 2015 UWANJA WA KAPETI HYATTSVILLE

Rais wa DMV ndugu Iddi Sandaly akikabidhiwa jezi za Simba na Yanga na mmoja ya wafanyakazi wa TBL Tanzania tayari kwa mpambano unaosubiliwa kwa hamu wa Simba na Yanga DMV
Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 kwa mara ya kwanza DMV itafanyika pambano kabambe la Simba na Yanga katika uwanja wa Heurich turf field uliopo Hyattsville, Maryland nyuma ya Home Depot anuani ni 6001 Ager Rd, Hyattsville, MD 20781, Mpambano huo ni kwa wachezaji wa DMV tu

 

11 years ago

Mwananchi

Kandoro aikataa taarifa ya fedha Mbozi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro aikataa taarifa ya matumizi ya fedha zaidi ya Sh174 milioni za miradi miwili ya bwawa la maji katika Kijiji cha Iyula na Msia wilayani hapa na kutoa wiki moja kwa halmashauri ya wilaya kutoa maelezo sahihi ya miradi hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Phil Neville aikataa Uingereza, ataka kufundisha Hispania

phil-neville-valencia_3383469

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha msaidizi wa Valencia ya Hispania, Phil Neville (pichani) amesema hana mpango wa kurudi Uingereza kufundisha soka na anapenda kusalia kufundisha soka Hispania ambapo anaamini ni sehemu sahihi kwake kufundisha.

Neville ambaye aliwahi kuchezea Manchester United na Everton zote za Uingereza na baadae kuwa kocha msaidizi wa Manchester United kwa miezi 10 baada ya kocha mkuu, David Moyes kutimuliwa kazi, alikiambia kituo cha michezo cha Skysport kuwa inawezekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani