Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga amgawia jezi ya Simba, mchungaji Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zadravko Logarusic ametoa zawadi ya jezi ya Simba kwa mchungaji wa kanisa la Katoliki ambaye ni shabiki wa Yanga na akaipokea bila ya matatizo.

Logarusic maarufu kama Loga amewasilisha zawadi hiyo siku tatu zilizopita katika mji aliozaliwa wa Slavonski Brod ambao mchungaji, Josephat Mosha amekuwa akifanya kazi kwa miaka nane sasa.

Mosha raia wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa

Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1. Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi […]

 

9 years ago

Vijimambo

TBL YATOA JEZI KWA MECHI YA SIMBA NA YANGA DMV AUG 29, 2015 UWANJA WA KAPETI HYATTSVILLE

Rais wa DMV ndugu Iddi Sandaly akikabidhiwa jezi za Simba na Yanga na mmoja ya wafanyakazi wa TBL Tanzania tayari kwa mpambano unaosubiliwa kwa hamu wa Simba na Yanga DMV
Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 kwa mara ya kwanza DMV itafanyika pambano kabambe la Simba na Yanga katika uwanja wa Heurich turf field uliopo Hyattsville, Maryland nyuma ya Home Depot anuani ni 6001 Ager Rd, Hyattsville, MD 20781, Mpambano huo ni kwa wachezaji wa DMV tu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awavutia pumzi Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

11 years ago

GPL

Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph
TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...

 

11 years ago

GPL

Simba yampa Loga Sh milioni 13

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA ilimlipa Kocha Zdravko Logarusic kitita cha dola 8,000 (Sh milioni 13), siku moja kabla ya kuondoka nchini.
Simba ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya kutimiza masharti ya Logarusic ambaye sasa yupo nyumbani kwao Croatia kwa ajili ya mapumziko.
Katika mazungumzo ya mwisho kabla ya kuondoka nchini, imeelezwa Logarusic aliueleza uongozi wa Simba kuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani