Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba
![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8oVj2rEQAqZHKnFXeQCM14-uiy8s3lJ55RyyPJ6CGo0CXsA0NeTFaM05FBSi-AJSTfVzi5lHzMTkKBQ8RLx0VG/Logarusic.jpg?width=600)
Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpH-b8Zi9Jz9bx-Tp0yh4qrLZ1JkpLH7mdB0zRkvItBqVSS-AHGaG5NMeBgFQJt3xKbP82rFt2lRR9HlqiM81lBg/LOGA.gif?width=600)
Loga asajili wachezaji 25 Simba SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhm*M4-7190*Y2J1KNoTFoQPPVqpqI3wAZQGTxtdOmbodkG6uf9RppUbfDHNRpxcmtc7940tj64OYdZL5qOuRX*/44.gif?width=600)
Simba yampa Loga Sh milioni 13
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Loga awakaribisha nyota wa Simba B
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Loga awavutia pumzi Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Loga mabadiliko makubwa Simba
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Loga akubali yaishe Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Hatima ya Loga Simba wiki hii
HATIMA ya Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Crotia kuendelea kutanua viunga vya Msimbazi sasa inatarajiwa kujulikana mwishoni mwa wiki hii. Loga alitua Msimbazi mzunguko wa pili wa...
11 years ago
GPLMatola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba
11 years ago
GPLKOCHA WA SIMBA LOGA ATINGA GLOBAL