IFAHAMU 'HOTEL FOOTBALL' INAYOMILIKIWA NA G.NEVILLE, GIGGS, SCHOLES, P.NEVILLE NA BUTT

Hotel hiyo ambayo inaitwa Hotel Football na ipo karibu kabisa karibu na uwanja wa Old Trafford.Hotel hiyo ambayo ni wazo la kwanza kabisa la Neville na Ryan Giggs lakini baadae wakaja wamiliki wapya kama Phil Neville, Nicky Butt na Paul Scholes, kuanzia nje hadi ndani imekua branded ki-football zaidi.Kuwa na uhusiano wa ki-football unaipa advantage ya kuwa sehemu busy sana siku za mechi au hata sio siku za mechi. Ukiingia ndani kuna picha za malegend wa soka na pia juu kabisa kuna uwanja wa...
africanjam.com