Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. SLAA AVISHWA VAZI LA KICHIFU, APEWA JINA LA 'MWENE WA MBOZI' HUKO MBOZI MKOANI MBEYA

Kiongozi wa Machifu wa Kabila la Wanyiha, Greenwell Msangawale akimvisha vazi maalum la kichifu Dk.Slaa. Kiongozi wa Machifu wa Kabila la Wanyiha, Greenwell Msangawale akiongea na wananchi wa Mbozi baada ya zoezi hilo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA AITEKA MBOZI MKOANI MBEYA LEO

Chopa aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya  Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya, leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu chemba.Wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEZA KAMPENI WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA

Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni  maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbozi. Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati  mgombea huyo akielekea  Chunya kwenye mkutano wa kampeni.Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : CCM ijihadhari majimbo ya Mbarali, Mbozi Magharibi na Mbozi Mashariki

Jimbo la Mbarali kama yalivyo mengine lilianza siasa za vyama vingi mwaka 1995 kwa ushawishi wa kipekee kutoka kwa vyama mbalimbali, huku NCCR Mageuzi ikionyesha kila aina ya makeke.

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

StarTV

Madiwani Mbozi Magharibi wapeleka maombi ya kubadilisha jina.

Na Fredy Bakalemwa,

Mbeya.

 

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Momba mkoani Mbeya limepitisha mapendekezo ya kupeleka maombi maalumu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutaka jina la Jimbo la Mbozi Magharibi libadilishwe kuwa jimbo la Momba.

Katika mapendekezo hayo, baraza hilo pia limeomba halmashauri ya mji wa Tunduma kuwa jimbo la uchaguzi ikizingatiwa idadi kubwa ya watu waliopo.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, wilaya hiyo ina zaidi ya watu 293,000, kati ya...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali zaua watu 11 Mbeya, Mbozi kwa nyakati tofauti

Watu 11 wamefariki dunia katika matukio tofauti, ikiwamo ajali ya mabasi mawili yaliyogongana mjini Tunduma wilayani Momba juzi jioni na kusababisha vifo vya watu tisa na majeruhi 24.

 

9 years ago

Michuzi

AMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.

Na Mwandishi wetu,Mbeya,Jamiimojablog

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa 7 mchana huko katika kijiji cha Malolo, Kata ya Msia, wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani