Madiwani Mbozi Magharibi wapeleka maombi ya kubadilisha jina.
Na Fredy Bakalemwa,
Mbeya.
Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Momba mkoani Mbeya limepitisha mapendekezo ya kupeleka maombi maalumu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutaka jina la Jimbo la Mbozi Magharibi libadilishwe kuwa jimbo la Momba.
Katika mapendekezo hayo, baraza hilo pia limeomba halmashauri ya mji wa Tunduma kuwa jimbo la uchaguzi ikizingatiwa idadi kubwa ya watu waliopo.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, wilaya hiyo ina zaidi ya watu 293,000, kati ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Mar
KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : CCM ijihadhari majimbo ya Mbarali, Mbozi Magharibi na Mbozi Mashariki
10 years ago
GPLDK. SLAA AVISHWA VAZI LA KICHIFU, APEWA JINA LA 'MWENE WA MBOZI' HUKO MBOZI MKOANI MBEYA
10 years ago
Mwananchi08 Dec
TIC yabariki AGB kubadilisha jina
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Madiwani Mbozi ‘chupuchupu’
10 years ago
VijimamboMAPOKEZI YA MBUNGE WA CHADEMA MBOZI MAGHARIBI MH DAVID SILINDE YAVUNJA REKODI
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
JWT wapeleka majina kuunda kamati
UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) kesho utapeleka kwa Waziri wa Fedha majina matano yaliyopendekezwa kuunda kamati ya watu 10 baina yao na Mamlaka ya Mapato (TRA) yenye lengo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
WWF-Tanzania wapeleka neema Kilwa
JUMAMOSI ya Machi 30 mwaka huu, ilikuwa ni siku ya furaha kwa wananchi wa Kijiji cha Nakiu, Kata ya Nakiu katika Tarafa ya Nanjilinji baada ya kupatiwa mitambo ya kuwasha...
10 years ago
GPLEL CLASICO: MATHIEU, SUAREZ WAPELEKA KILIO REAL MADRID
9 years ago
VijimamboMBATIA,SELASINI NA KOMU WAPELEKA MABADILIKO JIMBO LA MOSHI VIJIJINI
Baaadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wakiwa katika mkutano huo.Mgombea Ubunge katika jimbo la Rombo ,Joseph Selasini ,akizunbumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika jimbo la Moshi vijijini.Wananchi wakifuatolia mkutano huo.Mgombea Ubunge jimbo la Rombo ,Joseph Selasini akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia wakati wa...