Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIC yabariki AGB kubadilisha jina

Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema hakuna tatizo la kubadilisha jina la kampuni au shirika wakati uongozi na mambo mengine yakibaki kama yalivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Madiwani Mbozi Magharibi wapeleka maombi ya kubadilisha jina.

Na Fredy Bakalemwa,

Mbeya.

 

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Momba mkoani Mbeya limepitisha mapendekezo ya kupeleka maombi maalumu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutaka jina la Jimbo la Mbozi Magharibi libadilishwe kuwa jimbo la Momba.

Katika mapendekezo hayo, baraza hilo pia limeomba halmashauri ya mji wa Tunduma kuwa jimbo la uchaguzi ikizingatiwa idadi kubwa ya watu waliopo.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, wilaya hiyo ina zaidi ya watu 293,000, kati ya...

 

10 years ago

GPL

CCM YABARIKI UBUNGE WA WEMA

Gladness Mallya
BARAKA! Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo. Akistorisha na gazeti hili, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai, hivyo...

 

11 years ago

Mtanzania

Kamati ya Wassira yabariki adhabu ya kifo

Steven Wassira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wassira

Na Debora Sanja, Dodoma

LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza iendelee kutumika nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Steven Wassira, alisema hali hiyo ilijitokeza wakati wa kujadili Sura ya nne ya Rasimu ya Katiba.

“Wapo baadhi ya wajumbe walitaka adhabu ya kifo ifutwe,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yabariki rasmi Simba kuchaguana

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limebariki rasmi kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba kama ulivyopangwa awali hapo Juni 29. Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisa Habari wa TFF,...

 

11 years ago

Mwananchi

Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga

>Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemaliza utata kwa kumruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuitumikia Yanga kama usajili wake umekidhi vigezo.

 

11 years ago

Habarileo

Sumatra sasa yabariki tiketi za mitandao

Meneja Mawasiliano kwa Umma wa Sumatra, David MzirayMAMLAKA ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) imesema haina pingamizi kwa kampuni zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi kwenda mikoani kutumia mfumo wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao.

 

11 years ago

GPL

Yanga yabariki kuondoka kwa Niyonzima

Haruna Niyonzima. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa, hauna kipingamizi cha aina yoyote juu ya kiungo mshambuliaji wake, Haruna Niyonzima, aliyetangaza kuondoka iwapo dili lake litakamilika. Niyozima aliliambia Championi hivi karibuni kuwa yupo katika mchakato wa kuiacha timu hiyo iwapo mikakati yake itakamilika kwa kuwa kuna klabu kadhaa zinamfuatilia. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Caf yabariki Uwanja wa Azam Complex kimataifa

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limeupa hadhi ya kuchezea michuano mbalimbali ya kitaifa uwanja wa Azam Complex, Chamazi unaomilikiwa na klabu ya Azam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani