Yanga yabariki kuondoka kwa Niyonzima
![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdvKqum2Dy-W6X8xk6I*Lnl0AXDJZIW0871kbgP-hHP1v*aTroNpY8IM5uFcr-2v6UaWgUMwZGBxNzY0os*KuuT/YANGAFC.jpg?width=650)
Haruna Niyonzima. Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa, hauna kipingamizi cha aina yoyote juu ya kiungo mshambuliaji wake, Haruna Niyonzima, aliyetangaza kuondoka iwapo dili lake litakamilika. Niyozima aliliambia Championi hivi karibuni kuwa yupo katika mchakato wa kuiacha timu hiyo iwapo mikakati yake itakamilika kwa kuwa kuna klabu kadhaa zinamfuatilia. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]
The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s72-c/marcio.jpg)
Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!
![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s1600/marcio.jpg)
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Niyonzima aichefua Yanga
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Yanga stronger than ever, says Niyonzima
9 years ago
TheCitizen04 Oct
Niyonzima happy with Yanga form
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Niyonzima: Sitailipa Yanga chochote
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
* Adaiwa sh. milioni 152 kwa kukiuka masharti ya mkataba wake
MCHEZAJI Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake umevunjwa na klabu yake ya Yanga kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa na tabia zake, amedai kuwa hatalipa kiasi cha Dola 71,175 (sawa na Sh milioni 152) kwani suala hilo halipo kwenye mkataba.
Uongozi wa Yanga jana ulitangaza kuvunja mkataba wa mchezaji huyo mahiri wa nafasi ya kiungo, lakini mbali na uamuzi huo klabu hiyo pia ilimtaka mchezaji huyo kuilipa...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima
Mshambuliaji, Issofou Boubacar.
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.
Haruna Niyonzima.
Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...