Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Caf yabariki Uwanja wa Azam Complex kimataifa

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limeupa hadhi ya kuchezea michuano mbalimbali ya kitaifa uwanja wa Azam Complex, Chamazi unaomilikiwa na klabu ya Azam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kliniki ya soka ya Airtel Rising Stars yanoga Uwanja wa Azam Complex

Vijana 72 wenye vipaji vya soka kutoka nchi 12 Barani Afrika wanaoshiriki kliniki ya Airtel Rising Stars jijini Dar es Salaam wametakiwa kuiga mbinu zinazofundisha na kutimiwa na shule za soka za klabu ya Manchester United ya Uingereza ili waweze kuwa wachezaji wazuri hapo baadae. 
Mafunzo hayo yalioanza Jumatano kwenye Uwanja wa Azam Complex chini ya kocha mkuu Neil Scott kutoka katika shule za Manchester United.
Akitoa mafunzo hayo, Scott alisema lengo la mafunzo hayo ni kumfanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam waivaa Ferraviario ndani Azam Complex

Matajiri wa Chamazi, Azam leo wataweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza mechi ya kimataifa kwenye uwanja wake watakapowakaribisha Ferraviario Da Beira kwenye uwanja wa Azam Complex  katika mchezo wa awali Kombe la Shirikisho CAF.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys kukipiga Azam Complex

MECHI ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya soka Afrika kwa vijana wenye miaka chini ya 17 kati ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ na Afrika Kusini ‘Amajimbos’ itachezwa Ijumaa,...

 

11 years ago

Michuzi

SERENGETI BOYZ KUJIPIMA AZAM COMPLEX

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boyz) inacheza mechi ya kujipima nguvu kesho (Julai 11 mwaka huu) dhidi ya Azam U-20 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mechi hiyo ambayo ni maalumu kwa benchi la ufundi la Serengeti Boyz likiongozwa na kocha Hababuu Ali Omari kuangalia kikosi chao itaanza saa 2 kamili asubuhi.
Serengeti Boyz itacheza mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos) siku ya Ijumaa, Julai 18...

 

10 years ago

Michuzi

FAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA AZAM COMPLEX, CHAMAZI

Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Awali mchezo huo wa fainali ulikuwa umepangwa kufanyika kesho kwenye dimba la Uwanja wa Taifa, lakini kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TTF imepelekea mchezo huo kuhamishiwa Chamazi.

Mchezo huo wa fainali utaanza saa 10 kamili jioni, na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yaliyojiri Azam Complex sherehe za ubingwa Ligi Kuu ya Vodacom

DIMBA la Azam Complex, lililoko Chamazi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, juzi lilikuwa na sura mbili, zote zikibeba taswira ya furaha kwa mashabiki na klabu mwenyeji wa uwanja huo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani