Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERENGETI BOYZ KUJIPIMA AZAM COMPLEX

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boyz) inacheza mechi ya kujipima nguvu kesho (Julai 11 mwaka huu) dhidi ya Azam U-20 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mechi hiyo ambayo ni maalumu kwa benchi la ufundi la Serengeti Boyz likiongozwa na kocha Hababuu Ali Omari kuangalia kikosi chao itaanza saa 2 kamili asubuhi.
Serengeti Boyz itacheza mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos) siku ya Ijumaa, Julai 18...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys kukipiga Azam Complex

MECHI ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya soka Afrika kwa vijana wenye miaka chini ya 17 kati ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ na Afrika Kusini ‘Amajimbos’ itachezwa Ijumaa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam waivaa Ferraviario ndani Azam Complex

Matajiri wa Chamazi, Azam leo wataweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza mechi ya kimataifa kwenye uwanja wake watakapowakaribisha Ferraviario Da Beira kwenye uwanja wa Azam Complex  katika mchezo wa awali Kombe la Shirikisho CAF.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam Fc kujipima nguvu na JKT.

Azam FC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Azam Complex ,mchezo ambao ni wa kujipima nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Caf yabariki Uwanja wa Azam Complex kimataifa

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limeupa hadhi ya kuchezea michuano mbalimbali ya kitaifa uwanja wa Azam Complex, Chamazi unaomilikiwa na klabu ya Azam.

 

10 years ago

Michuzi

FAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA AZAM COMPLEX, CHAMAZI

Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Awali mchezo huo wa fainali ulikuwa umepangwa kufanyika kesho kwenye dimba la Uwanja wa Taifa, lakini kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TTF imepelekea mchezo huo kuhamishiwa Chamazi.

Mchezo huo wa fainali utaanza saa 10 kamili jioni, na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yaliyojiri Azam Complex sherehe za ubingwa Ligi Kuu ya Vodacom

DIMBA la Azam Complex, lililoko Chamazi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, juzi lilikuwa na sura mbili, zote zikibeba taswira ya furaha kwa mashabiki na klabu mwenyeji wa uwanja huo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani