Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YABARIKI UBUNGE WA WEMA

Gladness Mallya
BARAKA! Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo. Akistorisha na gazeti hili, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai, hivyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM yabariki Mgimwa kumrithi baba yake

Wakati Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ikimpitisha Godfrey Mgimwa (32) kuwa mgombea wa chama hicho Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, Kamati Kuu ya Chadema inakutana keshokutwa kuteua jina la mgombea wake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge

Mzee Majuto  kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;

Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapigilia msumari hatima ya #Katiba, yabariki Bunge kuendelea bila #Ukawa [VIDEO]

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM),imepigilia msumari wa mwisho kuhusu sintofahamu ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba baada ya kukubaliana na mwenendo mzima wa Bunge hilo.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema, JB, FA Kuukwaa Ubunge?

NAFASI kumi ambazo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anazo kikatiba kuteua mtu kuwa mbunge, moja itatumika kumteua msanii ili aweze kuwawakilisha wenzake, wanaotajwa zaidi kuukwaa ubunge huo ni Hamisi Mwinjuma ‘MwanaFA’, Jacob Steven ‘JB’ na Wema Sepetu.

Chanzo cha habari kilicho ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimelidokeza gazeti hili kuwa baada ya kushiriki kikamilifu katika kampeni zilizokiwezesha chama hicho kushinda, kimeoni ni jambo la busara kama mmoja wao atateuliwa ili...

 

10 years ago

GPL

ALIYEMSUKUMA WEMA KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA

Erick Evarist MADAM Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1I7TqR0 ...

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani