Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra sasa yabariki tiketi za mitandao

Meneja Mawasiliano kwa Umma wa Sumatra, David MzirayMAMLAKA ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) imesema haina pingamizi kwa kampuni zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi kwenda mikoani kutumia mfumo wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUMATRA yaanza ukaguzi wa tiketi katika mabasi yaendayo mikoani

 Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) imeanza ukaguzi wa nauli katika vyombo vya usafirishaji hapa nchini hasa kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani kutokea jijini Dar es salaam.
SUMATRA imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa kuna baadhi ya vyombo vya usafiri hasa mabasi ya Mikoani kuwa na tabia ya kuongeza nauli hasa katika kipindi hiki cha msimu sikukuu za Krismas na Mwaka mpya,ambapo mapema leo asubuhi maafisa wa Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) walitia timu katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za Precision sasa kwa Airtel Money

 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeanzisha ushirikiano na kampuni ya Ndege ya Precision utakaowawezesha wateja wake kununua tiketi za ndege kupitia huduma ya Airtel Money

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ibraline ,Ibrahim Shayo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.


SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...

 

10 years ago

Michuzi

The Nyama Choma Festival Dar 6 Desemba -Jipatie Tiketi Yako Sasa Kwa sh 7000 tu.

Tembelea Vituo Vya Mauzo Ujipatie Tiketi Yako Sasa.1.Samaki Samaki-Mlimani City na Posta2.Tripple 7  - Kawe3.Didis - Oysterbay4.Born 2 Shine - Mwenge

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%

2

Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.

3

Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wao, sasa kuwalipia washindi wa kucheza style ya “Kikuku” Usafiri, Tiketi na Vinywaji kwenye show zao

1

Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani  ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya “Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.

2

Meneja her self …Aneth Kushaba...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAKUNA MASHABIKI WAO, SASA KUWALIPIA WASHINDI WA KUCHEZA STYLE YA “KIKUKU” USAFIRI, TIKETI NA VINYWAJI KWENYE SHOW ZAO!‏

Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya "Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali...

 

10 years ago

GPL

CCM YABARIKI UBUNGE WA WEMA

Gladness Mallya
BARAKA! Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo. Akistorisha na gazeti hili, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai, hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani