Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wao, sasa kuwalipia washindi wa kucheza style ya “Kikuku” Usafiri, Tiketi na Vinywaji kwenye show zao
Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya “Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.
Meneja her self …Aneth Kushaba...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/13.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAKUNA MASHABIKI WAO, SASA KUWALIPIA WASHINDI WA KUCHEZA STYLE YA “KIKUKU” USAFIRI, TIKETI NA VINYWAJI KWENYE SHOW ZAO!
11 years ago
Dewji Blog02 May
Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wake, tukutane Thai Village leo
Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze Kariakoo na style kibao mpya za Skylight Band ikiwemo “Kikuku huyo Kwiyo Kwiyo”
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band sambamba na Aneth Kushaba AK47.
Hashim Donode na Winfrida Richard wakitoa burudani huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya...
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Njoo tucheze “Kikuku” style zingine kibao na Skylight Band ndani ya Thai Village leo
Vijana watanashati wa Skylight Band: Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village -Masaki jijini Dar. LEO PIA SIO YA KUKOSA ITAKUWA ZAIDI YA JANA..!
Maman nangayi e napeli moto…maman nanga a napeli moto (x2)…Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali.
Nani kama...
11 years ago
Dewji Blog20 Jun
Skylight Band yazidi kukubalika na mashabiki, leo kuzindua wimbo wao mpya “Pasua Twende” ndani yak iota cha Thai Village
Vijana machachari wa Skylight Band Kutoka kushoto Donode, Digna Mbepera, Sony Masamba na Mary Lucos wakitoa Burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai Village,USikose Leo kutakuwa pia na Uzinduzi wa Wimbo wao mpya PASUA TWENDE Itakuwa hapatoshiii.
Weweeee Usicheze na Sony masamba(katikati)akiyarudi mauno safi kabisaaaa kuwapa burudani wapenzi wa Skylight ndani ya Thai Village.
Hapo hapooo Taratibuuuu weweee Sam Mapenzi akiyarudi mastep ndani ya Thai Village Sony Masamba akifuahiii na...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Shabiki wa Skylight Band awadatisha Joniko Flower na Aneth Kushaba kwa kucheza ma-style ya bendi hiyo bila kukosea!
Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony Masamba wakiwajibika jukwaani.
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
So how do you expect me to live alone with just me …’Cause my world revolves around you
It’s so hard for me to breathe...No air...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_01061.jpg)
SHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA KUCHEZA MA-STYLE YA BENDI HIYO BILA KUKOSEA!
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0118.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWATEKA MASHABIKI WAKE NDANI YA JIJI LA DAR
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Skylight Band yazidi kuwapagawisha mashabiki wake njoo leo uone vitu vipya
Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
11 years ago
Dewji Blog28 Apr