SUMATRA yaanza ukaguzi wa tiketi katika mabasi yaendayo mikoani
![](http://4.bp.blogspot.com/-0rmqsATrDEQ/VIAN6WiivJI/AAAAAAAG1II/D4jTtPM4r3o/s72-c/fb9a98852fbf5d4dfe314793ef198f60.jpg)
Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) imeanza ukaguzi wa nauli katika vyombo vya usafirishaji hapa nchini hasa kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani kutokea jijini Dar es salaam.
SUMATRA imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa kuna baadhi ya vyombo vya usafiri hasa mabasi ya Mikoani kuwa na tabia ya kuongeza nauli hasa katika kipindi hiki cha msimu sikukuu za Krismas na Mwaka mpya,ambapo mapema leo asubuhi maafisa wa Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) walitia timu katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Vituo mabasi yaendayo mikoani vijengwe sasa
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Barabara ya mabasi yaendayo kasi yaanza kuwekwa viraka
Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
HUKU ikiwa bado haijaanza kutumika, barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (Dart), imeanza kuwekwa viraka, hali ambayo imesababisha msongamano wa magari katika barabara za Morogoro, Mandela na Samnujoma, jijini Dar es Salaam.
Viraka hivyo vimeanza kuwekwa kwenye barabara hiyo eneo la Ubungo ambalo linaunganisha barabara hizo zilizokumbwa na misururu mirefu ya magari jana.
Mradi huo ulitakiwa kukabidhiwa tangu Oktoba mwaka huu ili mabasi hayo yaweze...
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
10 years ago
GPLDALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D50k8OojlzU/U44C4jRDCUI/AAAAAAAFnbk/Us-gY8PFcH8/s72-c/unnamed+(73).jpg)
TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI - PINDA
11 years ago
CloudsFM05 Jun
TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI - PINDA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia na sekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria.
\Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Juni 3, 2014) wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano yenye lengo la kuutangaza mradi wa mabasi yaendayo kasi kwenye ukumbi wa Mlimani City. Mkutano huo wa siku mbili, utamalizika kesho (Jumatano, Juni 4, 2014).
Waziri Mkuu amesema kutèkelezwa kwa mradi huo kutatoa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vdXfYFOgkyQ/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-yJAGhtU4gAs/Vf6bOiCejDI/AAAAAAAH6Rk/QXlbDbF8TM8/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam