Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI - PINDA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia na sekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria. Ametoa kauli hiyo leo mchana wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano yenye lengo la kuutangaza mradi wa mabasi yaendayo kasi kwenye ukumbi wa Mlimani City. Mkutano huo wa siku mbili, utamalizika kesho. Waziri Mkuu amesema kutèkelezwa kwa mradi huo kutatoa fursa za ubunifu utakaowezesha kupatikana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI - PINDA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia na sekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria.\Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Juni 3, 2014) wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano yenye lengo la kuutangaza mradi wa mabasi yaendayo kasi kwenye ukumbi wa Mlimani City. Mkutano huo wa siku mbili, utamalizika kesho (Jumatano, Juni 4, 2014).
Waziri Mkuu amesema kutèkelezwa kwa mradi huo kutatoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Dar imejipangaje usafiri wa mabasi yaendayo kasi?

Serikali juzi ilizindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (BRT), ambao unatekelezwa jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa mafunzo hayo ni hatua ya mwisho ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huo wa barabara yenye urefu wa kilomita 20.9 kutoka Kimara hadi Kivukoni

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa mabasi yaendayo kasi

PG4A1223

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akifungua Mkurano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Dar Rapid Transit) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam,  Juni 3, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1241

 Waziri Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na   Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua  Mkutano waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo  haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

PG4A1269

Waziri Mkuu,...

 

10 years ago

GPL

DALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik alizumgumza na wamiliki wa UDA na daladala.…

 

9 years ago

Habarileo

Wadau kujadili nauli mabasi yaendayo kasi

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wiki ijayo inakutana na wadau kujadili nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo kasi.

 

11 years ago

Habarileo

Mabasi yaendayo kasi kuanza kutoa huduma

WAKALA wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.

 

10 years ago

GPL

UJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA

Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea eneo la Kariakoo. Mafundi wakiwa kazini. Taswira ya eneo hilo.…

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa mabasi yaendayo kasi wapiga hatua

MRADI wa mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri, itakayofanya kazi ya kuhakikisha wanapatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani