Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya mabasi yaendayo kasi yaanza kuwekwa viraka

asteria-may20-2014(1)Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

HUKU ikiwa bado haijaanza kutumika, barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (Dart), imeanza kuwekwa viraka, hali ambayo imesababisha msongamano wa magari katika barabara za Morogoro, Mandela na Samnujoma, jijini Dar es Salaam.

Viraka hivyo vimeanza kuwekwa kwenye barabara hiyo eneo la Ubungo  ambalo linaunganisha barabara hizo zilizokumbwa na misururu mirefu ya magari jana.

Mradi huo ulitakiwa kukabidhiwa tangu Oktoba mwaka huu  ili mabasi hayo yaweze...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI

Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea. Kamera yetu leo imepita maeneo mbalimbali ya Kinondoni barabara ya Kawawa, na kujionea namna ambavyo ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi unavyoendelea. Gabriel…

 

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

10 years ago

GPL

UJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA

Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea eneo la Kariakoo. Mafundi wakiwa kazini. Taswira ya eneo hilo.…

 

11 years ago

Habarileo

Mabasi yaendayo kasi kuanza kutoa huduma

WAKALA wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.

 

9 years ago

Mwananchi

Dar imejipangaje usafiri wa mabasi yaendayo kasi?

Serikali juzi ilizindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (BRT), ambao unatekelezwa jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa mafunzo hayo ni hatua ya mwisho ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huo wa barabara yenye urefu wa kilomita 20.9 kutoka Kimara hadi Kivukoni

 

9 years ago

Habarileo

Wadau kujadili nauli mabasi yaendayo kasi

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wiki ijayo inakutana na wadau kujadili nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo kasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani