Mandhari ya Zuhura-Mwezi-Zohali Pembetatu Pacha Alfajiri Alhamisi

Na Dkt. N T JiwajiMandhari ya kuvutia sana itaoneka angani alfajiri ya Alhamisi hii tarehe 7 Januari, jirani na upeo wa Mashariki kuanzia saa kumi na nusu alfajiri. Sayari mbili, Zuhura (Venus) na Zohali (Saturn) zitaonekana pamoja na hilali nyembamba ya Mwezi katika umbo la pembe tatu pacha iliyolala. Hilali itakuwa upande wa kushoto wakati sayari mbili Zuhura na Zohali zitakuwa karibu yake kwa umbali sawa zikitengeneza pembetatu pacha iliyolala.Zuhura itakuwa juu ikin'gaa mno wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Mandhari ya Kuvutia Angani Jioni Weekend hii - Hilali, Zuhura na Mshtarii 20 na 21 Juni 2015

By Dr. Noorali T. JiwajiThe Open University of TanzaniaFaculty of Science Technology and Environmental StudiesLecturer in PhysicsHead of Department of Physical Sciences
10 years ago
GPL
ALIENS WAHUSISHWA NA MAAJABU YA PEMBETATU YA SHETANI
11 years ago
Michuzi07 Jul
MANDHARI ZA KUVUTIA KUZUNGUKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA SAANANE
10 years ago
Michuzi
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Zuhura Yunus akukaribisha Forodhani
11 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO



Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mwanga wakiongozwa na meneja wao ,Innocent Silayo(wa pili toka kulia) wakishuka mara baada ya kutembelea vivutio...
11 years ago
Mwananchi15 Sep
Kandoro awavaa madereva alfajiri
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Zuhura Ally: Tunajihudumia wenyewe timu ya taifa